TETESI:Neema kuwaangukia wale wenye dv 1&2 na wamekosa mkopo.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika toka loans board,ni kwamba,kutokana na malalamiko meng juu jins mikopo ilvotolewa,zoezi la kuwachambua wale wote wenye dv 1 nd 2 afu wamekosa mkopo litarudiwa na watapewa mikopo kabla ya vyuo kufunguliwa.
 
Mungu saidia maana nawaza nitakavyoishi hapo chuo kwa shida. Uendelee kutujuza kaka.
 
Daaa! Kama loans wameamua kurudia tena kutoa mkopo kwa wenye 1&2 itakuwa fresh maana watu wamekata tamaa yakuendelea vyuo kutokana hali za kimaisha za watu,ka vp wafanye kweli tena haraka mno.
 
Hope you are not kidding! Mtoto wa ndugu yangu amekuwa discouraged sana serikali kutotambua juhudi alizoweka katika shule.
 
kwa kwel naomba kwa sir God iwe ivo manake juhud zangu za kusoma xana znaonekana ni bure nmekonda kwa wiki 1,Hayo mamilioni ntayawezea wap ukitegemea ni yatima(single family-mama) afu nimefaulu na kunyimwa mkopo"NO LOAN" inauma xana,kama kwel ni serikal ckivu wackie hich kilio...... cjivunii kuwa Mtanzania bali navumilia kuwa Mtanzania
 
Vipi kwa wale wa kozi za sayansi (afya) waliokosa mkopo?
 
mikopo ya kumwaga subirini 2015 wakati wa kampeni, pale unaweza ukakopa hata mara 2 mara tatu unavyojiskia tu
 
Mwaka serikali ina mpango wa kuongeza waalimu. Nyie iingie kwenye Edu, bajeti imefika kikomo.
 
Nashangaa sirikale iliyopo madarakani kupitia green colour identity ilivyogawa kadi zake kwa wapinzani zipatazo 14elfu na usheee namaanisha tuliokosa mkopo tayari tumeshagawiwa kadi za vyama pinzani.
 
na huu mtindo wa kukimbilia kadi za vyama kutokana na hali fulani,ndio mnaokuja kuwa km wale madiwani wa arusha
muwe na misimamo na msifate mikumbo vijana!!serikali yenu haioni umuhimu kuwekeza ktk elimu bali anasa zao tu...
 
Back
Top Bottom