Tetesi: Mzigo wa noti mpya ulipigwa juu kwa juu airport | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi: Mzigo wa noti mpya ulipigwa juu kwa juu airport

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jack Beur, Feb 22, 2011.

 1. J

  Jack Beur JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Kuna tetesi kwamba mzigo wa noti mpya ulipowasili tu airport wajanja wachache serikalini walichukua pesa nyingi na chache ndo zilipelekwa BOT kwa ajili ya kuingia kwenye mzunguko, ndo maana hadi sasa Bank hawana hazina ya kutosha ya noti mpya wanaendelea kutoa noti za zamani.
   
Loading...