Tetesi: Mussa Hussein, Perfect Chrispin kusepa Clouds FM

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Amkeni Amkeniiii 🗣 inasemekana eti hao jamaa wanataka kusepa CMG chanzo chake hakijafaamika Habari kamili punde itawajia. Stay tuned
 
Hii inanikumbusha wimbo wa TMK Wanaume- Ndege Tunduni!

••••Alitoka kidogo kuelekea kwenye maji, huyu mnyonyaji
Kugeuza kisogo wa kwanza kutoka ni mimi (Nature), nilishachoka
Kumbe kuna wenzangu walikuwa na akili kama zangu, hivyo hivyo nao wakatoka

AAAAAH WALTER, verse haijaishaaa!!!!

Wakabakia mabwege wengine wasioweza kutoka
Sababu nyoya zao zilikuwa zimenyonyoka

Mwingine mwenye nyoya ndogo, alipotaka kutoka, akabanwa na mlango! KHABAAAAH!!

Kumbe mwenye ndege alishawahi kufika, ikawa shida kwa yeye kutaka kutoka....

•••Mshike mshike ndege tunduni, sisi wajanja tumekimbia!
 
Chombo kinachohusika na Financial Affair za media house iwachunguze E Medias.

Matamasha yao yote n Buree..

Matangazo sio kivile. Kawaida tu..

Wanasajili giant presenterz. Pesa wanatoa wapi.

Isije kuwa wanatumia kikubwa tofaut na wanachoingiza. Km n hivi bas wapigwe fine na azabu kaliiiiiii...
 
Adhabu sio Azabu sawa msukuma
 
Chombo kinachohusika na Financial Affair za media house iwachunguze E Medias.

Matamasha yao yote n Buree..

Matangazo sio kivile. Kawaida tu..

Wanasajili giant presenterz. Pesa wanatoa wapi.

Isije kuwa wanatumia kikubwa tofaut na wanachoingiza. Km n hivi bas wapigwe fine na azabu kaliiiiiii...
Msukuma ni mshamba siku zote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom