Elections 2010 Tetesi: Mpendazoe ang'ara

Ng'oga

Member
Feb 22, 2007
14
0
Mahanga agoma kusaini na kukamatwa na mabox ya kula faki yuko polisi akihojiwa:israel:
 
Mi pia nimesikia habari hizi kuwa Mpendazoe alikua kamwacha Makongoro kura 80 lakini Mako kakimbia na masanduku. Sasa habari hizi si rasmi ni vizuri wenye taarifa watupe kwa kina kuliko kuandika tu "Ni kweli"
 
acha uzushi lete facts!

Ni kweli.

Mtu aliyekuwa akishiriki zoezi la kuhesabu kura (ni afisa mtendaji wa kata) alinitonya jana kuwa mpaka wanawasilisha masanduku ya kura kwenye kituo cha majumuisho, 'Mzee wa Nyantare' alikuwa kagaragazwa.
 
Safi, 2pa kule mjivuni huyo. Akaendeleze bar zake mtaani, atuachie harakati ze2 za maendeleo
 
Ishu ya Mpendazoe na Makongoro kudakwa sio utata...

Ni kweli, hata Wapo Radio wameripoti asubuhi moja kwa moja toka Buguruni kuwa Makongoro alishashindwa, na alikuwa polisi akihojiwa kwa kukwapua mabox ya kura, (ambayo awali mtendaji alishasema 'yalipotea') na ukweli wamesema baadaye Mtendaji na polisi waliyaweka ktk tax ili yapelekwe tena Shule ya msingi Buguruni kwa majumuisho tena ila kwa Masharti ya kutomruhusu mtu yeyote kuingia ktk hiyo tax, mawakala wakagoma (wakijua kuwa ndani ya tax kulikuwa na kura zilizokwishapigwa walizotaka kujaza ndani ya mabox), ndipo walipogoma tax haikuenda. Hadi saa 2:00 asubuhi, mtangazaji wa Wapo alisema polisi haijakubali kutoa ufafanuzi wa Makongoro, hatua zilizochukuliwa na Mabox faki yamefanywaje...

Habari ndio hiyoo.....Ukombozi unakandamizwa na mafidhuli...
 
Mahanga agoma kusaini na kukamatwa na mabox ya kula faki yuko polisi akihojiwa:israel:

Inaonekana wagombea wa CCM hawakujianda na aina zote za matokeo.
Walijiandaa kushinda tu sasa inawacost.
 
makongoro aliwatukana sana watu bar tabata, watu wakasema watamnyoosha jumapili
kakamatwa na masanduku ya kura
 
Uongozi wa nchi ya kidemokrasia huwekwa na umma na si ukoo au pesa au chama tawala! Mahanga kama ameshindwa aondoke na asiibe kura! Akajipange upya!
 
Back
Top Bottom