gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,305
- 3,327
Kuna fukuto kubwa kwa sasa hasa kwa wale wote walioitikia mkakati wa "TOROKA UJE" na kutimkia CDM,ukiachilia Mbali balozi Mwapachu bado lipo wimbi kubwa la wana CDM pia litajiunga na CCM siku za usoni.
Zipo sababu lukuki ambazo zinaonekana ni chanzo cha watu hawa kurudi kundini.
Ukiachilia mbali kuzikosa fursa mbalimbali zakiongozi walizoahidiwa hasa baada ya Bwana Lowasa kuangushwa na Magufuli lakini pia kasi ya Magufuli imewafanya wengi kua wenye majuto makubwa kwani kwa sasa hawana tena sababu za msingi za kua nje ya CCM.
Ukiachilia mbali sababu tajwa hapo juu pia lipo kundi lingine la wanasiasa ndani ya CDM yenyewe ambalo inasemekana halikuridhishwa na mchakato wa juzi uliofanyika jiji Mwanza.
Kimsingi mkakati wa toroka uje kwa sasa ni kama umeigeuzia kibao UKAWA,
ni swala la muda tu tusubiri.