kapotolo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 3,727
- 2,213
acid ur so controversialndio umejituma kuja kusema ati wewe ni machachari? kweli mchuuzi hana mtaa
acid ur so controversialndio umejituma kuja kusema ati wewe ni machachari? kweli mchuuzi hana mtaa
Habari za Diwani zina ukweli?
Nilikuwa uwanjani wakati Alfonse Mawazo akipigwa mawe na vijana baada ya kujikalisha kwenye viti vya madiwani wa CHADEMA.
Kilichomwokoa ni baada ya kuitwa kupanda jukwaa kuu na kuwasalimia wanaArusha.
Nanukuu maneno yake : Ndugu zangu wanaarusha, kumbukeni kuwa pamoja na kuwa mimi ni diwani wa ccm, pia ni mwanamageuzi, na kwa sababu Dr. Slaa ni mwanamageuzi wa kweli, ndiyo maana nimekuja kumsikiliza Dr.
Na ikumbukwe kuwa hata kwenye uchaguzi mkuu kura yangu sikumpa Kikwete, bali Dr. Slaa.
Sasa hiyo ya kuhamia CHADEMA sijui kama inaukweli, japo niliwasikia watu wakisema anachukua kadi ya chadema. Ila kwa mdomo wake hakusema kitu kama hicho.