TETESI: Mh. A. Mawazo, Diwani wa CCM - Kata ya Sombetini Ajiunga na CHADEMA leo

Wambugani

JF-Expert Member
Dec 8, 2007
1,757
276
Kuna tetesi kwamba Diwani wa CCM machachari wa Kata Sombetini - Jijini Arusha leo amejiunga na
CHADEMA!

Mlio huko uwanja wa NMC mtuhabarishe.
 
Kuna tetesi kwamba Diwani wa CCM machachari wa Kata Sombetini - Jijini Arusha leo amejiunga na
CHADEMA!

Mlio huko uwanja wa NMC mtuhabarishe.

mkuu..mbona watuweka kiroho papo..... follow up this romour and confirm please....
 
Mshenzi sana huyo, mimi simtaki hata kumsikia...Ni malaya wa kisiasa....fool he is!
 
Mkuu hii si tetesi tena bali ni kweli nimeipata kwenye radio one breaking news ya saa kumi kasoro jioni hii.
 
Kuna tetesi kwamba Diwani wa CCM machachari wa Kata Sombetini - Jijini Arusha leo amejiunga na
CHADEMA!

Mlio huko uwanja wa NMC mtuhabarishe.
ndio umejituma kuja kusema ati wewe ni machachari? kweli mchuuzi hana mtaa
 
nasikia kuna mabomu yanaendelea arusha sasa (source: the gudian-breaking news.) hebu mlioko huko tujuzeni tafadhali!!!!
 
Siwezi kushangaa hata kidogo yeye na Lema wanajua kuchanga karata vyema
 
Mkuu umeposti saa 10 na dk 32 (yaani 4:32) na unasema saa 10 kasoro bado?
Hehehe ila najua Mchungaji una matani sana... au ulikuwa unacheki kama yuko makini na anachokiongea?

Unaweza kuta jamaa yuko bar! Thanks for the Note.
 
ndio safari ya kuimongonyoa ccm imeanza ,amekataa udhalimu . kumekucha huku ni mabomu kwa sana moshi mji mzima watalii hofu kwani milio kama kuna vita vile
 
Na watalii nao wajionee hali halisi ya Arusha waondoke na kutangaza Tanzania hakuna AMANI! :yell:
 
polisi wanaelekea kuzidiwa nguvu na watu wamejaa kituon na mitaa imefungwa hivyo hata wale polisi wenye silaha wako mitaani hawawezi fika kituon hapa central. kumekucha .
 
Mkuu umeposti saa 10 na dk 32 (yaani 4:32) na unasema saa 10 kasoro bado?
Hehehe ila najua Mchungaji una matani sana... au ulikuwa unacheki kama yuko makini na anachokiongea?

Habari za Diwani zina ukweli?
 
ni kwel ndg yng. Mabom ni kla kona yan hakn pa kpita. Utafkr 2ko afghanstan. Yan cjui polc wame2mw na nan huu upuuz wanaoufnya. Ucombe uwpo hpa.
nasikia kuna mabomu yanaendelea arusha sasa (source: the gudian-breaking news.) hebu mlioko huko tujuzeni tafadhali!!!!
 
Ee Mungu irehemu Tanzania na udhalimu huu. Damu isiyo na hatia isimwagike bure. Ile viongozi wetu wawe na hekiba ya kutosha.
 
Back
Top Bottom