Tetesi mgombea udiwani kata ya kaloleni abas mkindi wa cuf kujitoa

nassiry

Senior Member
May 7, 2013
182
36
Mgombea udiwani wa kata ya kaloleni abas mkindi darwesh,kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea udiwani,habari zilizotufikia ktk chanzo chetu cha habari ndani ya cuf ni kwamba ameona kuwa anatwaga maji kwenye gunia,na kukubaliana na ccm kuwa dakika za mwisho hatajitoa na kuwaambia wanachama wa cuf waipigie ccm kura kuliko kuichagua chadema .

Chanzo cha habari intelejensia.
 
Hiyo ni janja ya paka, tu amesha sense defeat, hivyo asije akawa anafanya kama Mwenyekiti wa CUF alivyodai msikitini kwamba ilibidi mwafanye kazi ya ziada ili kunusuru JK 2010.
 
Sio ajitoe tu bali atekeleze na mambo yao ya kiliberali hadharani kwenye mikutano yao bado nguvu ya umma inashinda!!!!!
 
Mgombea udiwani wa kata ya kaloleni abas mkindi darwesh,kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea udiwani,habari zilizotufikia ktk chanzo chetu cha habari ndani ya cuf ni kwamba ameona kuwa anatwaga maji kwenye gunia,na kukubaliana na ccm kuwa dakika za mwisho hatajitoa na kuwaambia wanachama wa cuf waipigie ccm kura kuliko kuichagua chadema .

Chanzo cha habari intelejensia.

Hawezi jiyoa sasa kwani nina lake liko tayari kwenye karatasi za kupigia kura.
 
mliberali kaona ni afadhali aje auze kiti sio! sie yetu macho twasubiri atoe hayo kwenye ndoa yao ya zanzibar cuf n ccm
 
Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Maji ya shingo halafu Mawimbi ni makali Mno ! Operesheni Mchakamchaka bhana !
 
Kaona anapoteza muda kwenye siasa. Mirungi inakosa msambazaji. Darwesh wewe sio boya. Umesha pata mtaji ongeza order.
 
Hiyo ni janja ya paka, tu amesha sense defeat, hivyo asije akawa anafanya kama Mwenyekiti wa CUF alivyodai msikitini kwamba ilibidi mwafanye kazi ya ziada ili kunusuru JK 2010.
Mke mwema huungana na mumewe katika mema na mabaya.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Sasa maalim seif anaenda Arusha kumpigia debe nani?

Last Time si walikuwa pale bondeni,na masheikh kadhaa kwa mkutano wa hadhara ukifuatiwa na Vikao vya ndani ktk misikiti..hicho ndicho Lipumba kafichua..maaalimu ndicho kafuta+kupanga ugaidi kidogo ,kwa jina la CDM.

Watanyonyo ndevu na ku"Haki sawa" ,Arusha si Yeye tuu hata Lowasa kuingilia matokeo kumemfaya vijana wawe wanamvizia ktk kutangaza matokeo ili wamuue....bahati mbaya wakawa wanakosea gari yake na kupasua zingine.
 
Ameshtuka ule muda wa jioni ndo kuna wateja wengi wa mirungi halafu yeye anakuwa kwenye kampeni.
 
Jamaa wauza mirungi katishiwa nini?watu wengine wamemwambia ...kaingia ktk siasa atazibuliwa biashara haramu zote....mkewe ni muuza mirungi mkubwa,sijui km hauzi na ile kitu..mbaya akaaza na matusi na uzushi kwa CDM ,uzushi uliopelekea kuonekana mwehu kila mahali km muuza mitishamba wa sokoni.
 
mliberali kaona ni afadhali aje auze kiti sio! sie yetu macho twasubiri atoe hayo kwenye ndoa yao ya zanzibar cuf n ccm

Michezo yao hiyo haiwasumbui wananchi, Wanadhani hao wanaCUF leo watatumiwa kwa staili hiyo?
Labda waibe kura atakazopigiwa na zihesabiwe kama za CCM, Kitendo ambacho hata hivyo hakitoitoa CCM katika mdomo wa simba.
 
Haaa waliberali bhana, wanasiasa wote uchwara wanaojifanya kuhonga wananchi kama kule iramba wakajaribu Arusha waone! Arusha usipime!
 
Back
Top Bottom