Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,020
- 691
Taarifa za asubuhi ya leo ni kwamba madiwani wote wa manispaa ya bukoba wameitwa na maafisa wa Tamisemi katika ukumbi wa mkuu wa mkoa wa kagera kwa kile kinachoolezwa ni kupata taarifa ya kilichobainika baada ya Mkaguzi wa fedha za umma kufanya ukaguzi juu ya matumizi mabaya ya ofisi na madaraka kwa viongozi wa manispaa ya bukoba.
Chanzo ni mgogoro wa kisiasa kati ya mbunge kagasheki na meya anatory amani.
niko njiani kuelekea huko nitwawajuza kitakachobaika!
Byabato
Updates:
Kikao kimehairishwa 'eti' mpaka kwanza taarifa hiyo ya CAG ipate baraka za kamati kuu ya CCM ndipo iwe tabled kwa madiwani hao kwa hiyo kikao hicho wamedai kitafanyika ijumaa ya wiki hii! baadhi ya madiwani,wapambe na waandishi wa habari wanaondoka hapa ukumbini.
Aidha baadhi ya madiwani wamedai kuwa taarifa za kikao hicho walijulishwa kwa simu siyo barua hali wanayodai kuwa inaoesha wazi kutakuwa na uchakachuaji! Tusubiri.