Tetesi:Mgogoro wa Meya na Mbunge Bukoba-CAG kutoa maamuzi Leo!

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
Taarifa za asubuhi ya leo ni kwamba madiwani wote wa manispaa ya bukoba wameitwa na maafisa wa Tamisemi katika ukumbi wa mkuu wa mkoa wa kagera kwa kile kinachoolezwa ni kupata taarifa ya kilichobainika baada ya Mkaguzi wa fedha za umma kufanya ukaguzi juu ya matumizi mabaya ya ofisi na madaraka kwa viongozi wa manispaa ya bukoba.

Chanzo ni mgogoro wa kisiasa kati ya mbunge kagasheki na meya anatory amani.

niko njiani kuelekea huko nitwawajuza kitakachobaika!

Byabato

Updates:

Kikao kimehairishwa 'eti' mpaka kwanza taarifa hiyo ya CAG ipate baraka za kamati kuu ya CCM ndipo iwe tabled kwa madiwani hao kwa hiyo kikao hicho wamedai kitafanyika ijumaa ya wiki hii! baadhi ya madiwani,wapambe na waandishi wa habari wanaondoka hapa ukumbini.

Aidha baadhi ya madiwani wamedai kuwa taarifa za kikao hicho walijulishwa kwa simu siyo barua hali wanayodai kuwa inaoesha wazi kutakuwa na uchakachuaji! Tusubiri.

Byabato
 
!
!
kuketi siyo isnhu, inshu ni maamuzi na utekelezaji wa maamuzi. Management huwa inasfiwa kwa kutoa maamuzi haraka na kuyafanyia kazi maamuzi hayo.....Longolongo za sijui kikao sijui mavi mavi gani yashapitwa na muda
 
Dont be very iptimistic. Kwa utendaji wa serikali hii uchakachuaji unaweza kuwepo
 
Updates:

Kikao kimehairishwa 'eti' mpaka kwanza taarifa hiyo ya CAG ipate baraka za kamati kuu ya CCM ndipo iwe tabled kwa madiwani hao kwa hiyo kikao hicho wamedai kitafanyika ijumaa ya wiki hii! baadhi ya madiwani,wapambe na waandishi wa habari wanaondoka hapa ukumbini.

Aidha baadhi ya madiwani wamedai kuwa taarifa za kikao hicho walijulishwa kwa simu siyo barua hali wanayodai kuwa inaoesha wazi kutakuwa na uchakachuaji! Tusubiri.

Byabato
 
!
!
kuketi siyo isnhu, inshu ni maamuzi na utekelezaji wa maamuzi. Management huwa inasfiwa kwa kutoa maamuzi haraka na kuyafanyia kazi maamuzi hayo.....Longolongo za sijui kikao sijui mavi mavi gani yashapitwa na muda

mkuu tanguliza busara katika kuchangia,hasira za nini mkuu?
 
Iwe mushaija haya mambo ya CCM ndo yameufikisha hapa tulipo mambo hayatekelezeki ikija ripoti eti mara mpaka baraka,kwani hii ripoti ni ya chama ama ya serikali? mbona CAG mwenyewe alisema hawezi na hakutumwa na CCM kwasababu yeye ni taasisi na profesheni sasa iweje leo ripoti ya serikali ni lazima ipitiwe na chama,kwa masrahi ya nani ya chama ama ya serikali ya mkoa?

Waandishi tunaomba muwe wakali katika haya mambo yasiendelee tena kufanywa kisiasa make ni siasa hiyo hiyo ndo imetufikisha hapo
 
Mhuuuuuuuuuuuu....!!!!!?!! mashaka mkubwa haya. Hilo lilikuwa halijulikani kabla ya kuitisha kikao???!! Hapa kuna jambo linataka kufanyika !!
 
Hii ni hatari kubwa yaani utekelezaji wa taratibu na sheria za nchi mpaka upate baraka za chama?Huu ni uhuni.
 
Mhuuuuuuuuuuuu....!!!!!?!! mashaka mkubwa haya. Hilo lilikuwa halijulikani kabla ya kuitisha kikao???!! Hapa kuna jambo linataka kufanyika !!

Huu ni usanii kaka kwani hata hiyo CC yenyewe si wametoka kukaa wkend iliyoisha jana,kwanini hawakuipitisha hii ripoti nayo mpaka ihitaji kurudishwa Dom tena ?
 
Huu ni usanii kaka kwani hata hiyo CC yenyewe si wametoka kukaa wkend iliyoisha jana,kwanini hawakuipitisha hii ripoti nayo mpaka ihitaji kurudishwa Dom tena ?[/QUOTE hapa machare yamewacheza , wanajaribu kuweka mambo sawa mkuu.
 
Mbona ulipotea kabisa mkuu ama CC ya watawala haikuwahi kukaa siku zote hizo?
 
Back
Top Bottom