Tetesi mauaji ya kutisha Mwanza

Ngakayu

Senior Member
Apr 26, 2013
108
19
Diwani wa kata Kisesa ameuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya diwani huyo kumpiga risasi kwa kutumia bastora yake. Kisa mgogoro wa ardhi! Mliopo Kisesa tupeni taarifa. Diwani anaitwa Clement Mabina. Source nimetumiwa sms na mtu.
 
nikweli nipo mwanza habari hizi nizakweli kupitia itv breakingnews RPC kathibitisha namimi nasema wapigwe tu
 
mkuu nikweli jamaa alileta ubabe wananchi nao cku hizi wamepinda japo siyo kina mizengo, wapigwe tu
 
Diwani wa kata Kisesa ameuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya diwani huyo kumpiga risasi kwa kutumia bastora yake. Kisa mgogoro wa ardhi! Mliopo Kisesa tupeni taarifa. Diwani anaitwa Clement Mabina. Source nimetumiwa sms na mtu.

Mkuu uzi umo humu jamvini tangu saa saba... [h=2]Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe[/h]
 
Diwani wa kata Kisesa ameuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya diwani huyo kumpiga risasi kwa kutumia bastora yake. Kisa mgogoro wa ardhi! Mliopo Kisesa tupeni taarifa. Diwani anaitwa Clement Mabina. Source nimetumiwa sms na mtu.

Naamini uliukuta uzi unaoelezea hii habari ila kwa kudandia umeuanzisha upya
 
nikweli nipo mwanza habari hizi nizakweli kupitia itv breakingnews RPC kathibitisha namimi nasema wapigwe tu

Unaposema rpc kathibitisha unamaana rpc pekee ndio anaweza kusema ukweli wa jambo lolote kwenye jamii? ukome kutumia maneno yenye viashiria vya dharau kwa jamii.
 
CCM wamezidi dhulma wacha wapigwe tu.

Wataingia kwenye taimingi zetu wale wanaotutaka tule nyasi kisa ndege ya rais inunuliwe, wale wanaotutaka tuwashe vibatari, wale wanaotutaka tupige mbizi, wale wanaotutaka tupigwe, wale wanaotuzomea bungeni kwa kusema ndiooooooooooooo.
na yule wa kututaka tufanye biashara ya juisi, watajuta kwenye box la kura, wakijipendekeza tunakula vichwa.
cc: Simiyu Yetu, Mwigulu Nchemba aka Taswira @ifwero
 
Last edited by a moderator:
Diwani wa kata Kisesa ameuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya diwani huyo kumpiga risasi kwa kutumia bastora yake. Kisa mgogoro wa ardhi! Mliopo Kisesa tupeni taarifa. Diwani anaitwa Clement Mabina. Source nimetumiwa sms na mtu.

mkuu hiyo BASTORA ndio njia ya kwenda wapi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom