Tetesi - Manji (mgombea pekee ) ashinda kwa kishindo Yanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,724
239,332
Ninaye Nzi wa uhakika ndani ya ukumbi wa uchaguzi wa yanga afrika .

Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi .

Yeyote mwenye taarifa za uhakika aweke hapa , usihofie chochote .

Kila la heri WAZEE WA KIMATAIFA .
 
Back
Top Bottom