Tetesi: Maalim Seif kugombea urais wa JMT, Mbowe mgombea mwenza Zitto Waziri Mkuu mtarajiwa; Lema kugombea Ubunge Hai

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,761
Habari za chini ya carpet zinadai kuna mkakati mahsusi wa kiuchaguzi kati ya Chadema na ACT wazalendo ambapo baba wa upinzani maalim Seif anatarajiwa kugombea urais wa JMT.

Mh Mbowe anatajwa kuwa mgombea mwenza huku Zitto Kabwe akiandaliwa kuwa Waziri mkuu.

Godbless Lema naye anatajwa kuhamia jimbo la Hai ambako ni nyumbani kwao kugombea ubunge na akishinda anaweza kuteuliwa kuwa Waziri wa mambo ya ndani na Naibu Waziri mkuu kama ilivyokuwa kwa Augustini Lyatonga Mrema enzi za Mwinyi.

Safari hii bendera itakayopeperushwa ni ya ACT wazalendo.

Endeleeni kunywa mchuzi nyama mtazikuta chini

Maendeleo hayana vyama!
 
Yaani hichi ndicho mlichokaa siku nzima ya jana mkijadiliana huko lumumba?
 
Njaa ya buku7 inakufanya kuwa mwehu kila siku.
Hapo Lumumba mnazidi kuweweseka mapema Sana na tetesi Zenu za kishamba.... mwambieni magufuli ikifika October ajiandae kupambana na MEMBE ndani ya chama chenu,huku Kwa akina maalim seif mtapata pressure bureee
 
Membe hana akili za kilowasalowasa bwashee.......... Mtasubiri sana!
 
Back
Top Bottom