Elections 2010 Tetesi: Lowasa na Makamba wako MBEYA MJINI

Ilulu

Senior Member
Mar 22, 2008
161
31
Nimetokezwa kuwa wakati wananchi wakiwa na kiu ya matokea ya uchaguzi hasa jimbo la MBEYA MJINI, Mh. Lowasa na Makamba wako hapo mjini na polisi wanazidi kupiga mabomu kutawanya watu wenye KIU ya matokeo.
Walioko MBEYA please confirm this rumours!
 
Hawa jamaa watajifunza pale mmoja wao atakapokatwa shingo na wananchi waliochoka kuonewa. Wanaposikia watu wanakatwa mapanga huko Mara wanadhani wao ni immune ole wao...
 
Lowasa baada ya kushindwa A town sasa amehamia Mbeya..wakulu wa chadema wahini huko wasijemchakachua Sugu
 
Kama kikwete alishindwa iringa pamoja na kurudi zaidi ya mara mbili kumsaidia monica mbega, hata wao hawawezi
 
Back
Top Bottom