Elections 2010 Tetesi "lowasa & makamba wagharamia uchakachuaji mbeya v na mbozi mashari

mwalimumpole

Member
Oct 17, 2010
48
0
VIGOGO WAWILI WA CHAMA CHA CCM WALIINGILIA KATI MATOTEO YA MAJIMBO TAJWA HAPO JUU, IMEFAHAMIKA. CHANZO CHETU CHA UHAKIKI KINADAI KUWASHUHUDIA WAHUSIKA HAO USIKU MKOANI MBEYA WAKATI ZOEZI LA KUSEHEBU KURA LIKIENDELEA. KWELI CCM MAFIA. :puke:
 
Mwalimumpole inamaana hujui kuwa Lowasa ndiye aliyewasimamisha wangombea wa ccm majimboni? Kwa taarifa yako inatakiwa ujue kuwa Lowasa alitumia pesa nyingi kuwasimamisha wabunge wanaomkubali ili wampigie upatu aje kuwa rais wa 2015. Ndiyo maana alipoona Batilda kaangushwa alidhiriki hata kutangaza dau la bil. 1 Lema achukue. Nguvu ya umma ndiyo iliyookoa hali hiyo.
Hata shinikizo la wagombea wa CHADEMA walioshinda ubunge kunyimwa haki zao imetokana na Lowasa ili asilimia itakayomuunga mkono isije ikashuka. Matokeo ya Karagwe, Kilombero, Segerea, Chunya, Arumeru Mashariki, Babati vijijini, Nzega nk, ni baadhi ya matokeo yaliyochakachuliwa makusudi.
 
Back
Top Bottom