Tetesi "lowasa & makamba wagharamia uchakachuaji mbeya v na mbozi mashari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi "lowasa & makamba wagharamia uchakachuaji mbeya v na mbozi mashari

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mwalimumpole, Nov 5, 2010.

 1. m

  mwalimumpole Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  VIGOGO WAWILI WA CHAMA CHA CCM WALIINGILIA KATI MATOTEO YA MAJIMBO TAJWA HAPO JUU, IMEFAHAMIKA. CHANZO CHETU CHA UHAKIKI KINADAI KUWASHUHUDIA WAHUSIKA HAO USIKU MKOANI MBEYA WAKATI ZOEZI LA KUSEHEBU KURA LIKIENDELEA. KWELI CCM MAFIA. :puke:
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh nafikiri ipo siku moto utawaka nchi hii!!
   
 3. HeartBreak

  HeartBreak JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  iko siku ccm itakosea mahesabu.........naipenda tanzania
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mwalimumpole inamaana hujui kuwa Lowasa ndiye aliyewasimamisha wangombea wa ccm majimboni? Kwa taarifa yako inatakiwa ujue kuwa Lowasa alitumia pesa nyingi kuwasimamisha wabunge wanaomkubali ili wampigie upatu aje kuwa rais wa 2015. Ndiyo maana alipoona Batilda kaangushwa alidhiriki hata kutangaza dau la bil. 1 Lema achukue. Nguvu ya umma ndiyo iliyookoa hali hiyo.
  Hata shinikizo la wagombea wa CHADEMA walioshinda ubunge kunyimwa haki zao imetokana na Lowasa ili asilimia itakayomuunga mkono isije ikashuka. Matokeo ya Karagwe, Kilombero, Segerea, Chunya, Arumeru Mashariki, Babati vijijini, Nzega nk, ni baadhi ya matokeo yaliyochakachuliwa makusudi.
   
Loading...