Tetesi: LAWRENCE MARSHA ateuliwa kuwa MP

mimimkuu

Member
Oct 12, 2010
38
9
Tetesi kutoka kwa watu wa karibu na JK, baada ya kuwateua Zakia Meghji na Shamsi Vuai pia jina la LAWRENCE MARSHA limo kwenye list ya wabunge 10 wakuteuliwa
 
Tetesi kutoka kwa watu wa karibu na JK, baada ya kuwateua Zakia Meghji na Shamsi Vuai pia jina la LAWRENCE MARSHA limo kwenye list ya wabunge 10 wakuteuliwa

So far only three have been appointed. Is Masha your rival?
 
Tetesi kutoka kwa watu wa karibu na JK, baada ya kuwateua Zakia Meghji na Shamsi Vuai pia jina la LAWRENCE MARSHA limo kwenye list ya wabunge 10 wakuteuliwa

Inawezekana!!! Unajua -- Masha akikaa nje ya Cabinet Ridhiwani atakua amevuliwa nguo -- atakosa kinga ya ule mchoto (au mkombo) wa Deep Green!
 
Zakia Meghji...mmh very disgusting, hivi hii tabia ya kubebana kwenye hiki Chama chao yataisha lini,huyu si ni mama mkwe wake jamaa?
 
Alafu watu walivyo na akili za kurogwa wataishia kudai Chadema chama cha kifamilia:nono:
 
who cares, let him choose whoever he likes to fill the room. Kwa hiyo anarudisha wale wote waliokosa nafasi kwa namna moja au nyingine, time will tell......YETU MACHO
 
who cares, let him choose whoever he likes to fill the room. Kwa hiyo anarudisha wale wote waliokosa nafasi kwa namna moja au nyingine, time will tell......YETU MACHO
Kweli kabisa kama aliingia madarakani bila kura halali za Watanzania ndio leo tujali atamchagua LAU au la?? hayatuhusu...
 
who cares, let him choose whoever he likes to fill the room. Kwa hiyo anarudisha wale wote waliokosa nafasi kwa namna moja au nyingine, time will tell......YETU MACHO

Nikuulize ungekuwa wewe una hizo nafasi ungeteua mtu ambaye yuko upande wako au yeyote tuu?
 
Marsha na Ridhiwani ni ma-partner pale IMMMA Advocates! Pale ndiyo eneo amabalo kila kitu huwa kinasukwa, hata fedha za kumhonga Marsha huwa zinapelekwa pale kwa kutumia kifuli cha ofisi....mtu anaingia kama mteja na ana-meet na Marsha au RK na kuwasilisha mlungula!! JK hawezi kumtema Marsha, hata yeye wizi wake unapitia kwa RK na Marsha...lazima partner aendelee kuwepo....atateuliwa na atakuwa Minister tena...
 
Mambo ya nchi hii yanaumiza moyo mno.
Kila neno ni neno tu.
Kabla halijasahaulika hili linaibuka lingine sijui hata mwisho wake ni nini!
 
Kwani kuna ambaye hakulitegemea hilo? tena nitashangaa kama ameshaanza kuwataja na jina la Masha bado, ilitakiwa liwe la 1
 
Msishangae jamani.
Kiwete hawezi kuwaacha viwete wenzake. Najua ilimwuma sana Marsha alivyopigwa Mweleka pale Nyamagana na kijana wetu wa CHADEMA.
Marsha na Riz 1 ni damu damu. Mikataba yote fake huwa inatengenezewa pale IMMMA Advocates . Bila shaka mnakumbuka huu mradi wa KUTENGENEZA VITAMBULISHO VYA WADANGANYIKA mchakato ulishaanza kitambo tangu Marsha alipokuwa kiranja wa Mambo ya Ndani .Kwa hiyo lazima arudishwa kwenye system ili mambo yaendelee kama yalivopangwa.
 
Zakia Meghji...mmh very disgusting, hivi hii tabia ya kubebana kwenye hiki Chama chao yataisha lini,huyu si ni mama mkwe wake jamaa?
Siyo hayo tu, mwanae meghji ni mbunge viti maalum!!! alimaliza secondari zanaki akisoma KLF!
 
Back
Top Bottom