Tetesi kutoka kwa watu wa karibu na JK, baada ya kuwateua Zakia Meghji na Shamsi Vuai pia jina la LAWRENCE MARSHA limo kwenye list ya wabunge 10 wakuteuliwa
So far only three have been appointed. Is Masha your rival?
Tetesi kutoka kwa watu wa karibu na JK, baada ya kuwateua Zakia Meghji na Shamsi Vuai pia jina la LAWRENCE MARSHA limo kwenye list ya wabunge 10 wakuteuliwa
Kweli kabisa kama aliingia madarakani bila kura halali za Watanzania ndio leo tujali atamchagua LAU au la?? hayatuhusu...who cares, let him choose whoever he likes to fill the room. Kwa hiyo anarudisha wale wote waliokosa nafasi kwa namna moja au nyingine, time will tell......YETU MACHO
who cares, let him choose whoever he likes to fill the room. Kwa hiyo anarudisha wale wote waliokosa nafasi kwa namna moja au nyingine, time will tell......YETU MACHO
Siyo hayo tu, mwanae meghji ni mbunge viti maalum!!! alimaliza secondari zanaki akisoma KLF!Zakia Meghji...mmh very disgusting, hivi hii tabia ya kubebana kwenye hiki Chama chao yataisha lini,huyu si ni mama mkwe wake jamaa?