Tetesi: Kocha wa Barcelona, Ernesto Valvede kutimuliwa. Gurdiola atajwa kurudi nyumbani!

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,175
22,576
Hata kabla ligi haijaanza huko Catalunya. wanazengo hawamtaki kocha Ernesto Valvede. Yaani mashabiki wamechoka sasa na valvede.

Pia kwenye mitandao jana na juzi mashabiki wengi walipendekeza pep gurdiola arudi haraka Barca.

Hii inaonesha ni jinsi gani valvede alivyochokwa!.

Hii ni habari mbaya kwa mashabiki wa citizens..

Pancho boy
 
Huyu Ernesto nilimdharau na kumuona sio kocha wa calibre ya kuifundisha Barcelona tangu siku alipofungwa na Roma 3-0.
 
Pep hawezi kuondoka City kirahisi kabla ya msimu kuisha. Huu msimu unaweza kuwa msimu wa mafanikio makubwa kwake na yeye anatambua hilo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom