Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 945
- 1,817
Wakuu nimenyetishiwa na mnyeyishaji kutoka Makao makuu amesema wanafahamu walifanya usaili ambao sasa umefikisha miezi 5 amesema wengine wameshapoteza sifa za kujiunga na mafunzo.
Ametaja kigezo cha umri kuwa wengine wameshapitisha umri sahihi wa kujiunga na mafunzo pia Kuna vitu kama Vifo,ulemavu,Mimba, magonjwa ya akili na kusisitiza kuwa Jeshi halina mambo ya kihuni na wasailiwa lazima wafanyiwe screening upya.
Inaleta maana asante serikali ya awamu ya Tano.