Tetesi! HAZINA KUTANGAZA NAFASI ZA UGAVI NA UNUNUZI pamoja na UHASIBU

Blessingme

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
250
52
Habari wana jf! Nimepata habari kwa mdau kuwa hazina pamoja na utumishi wapo kwenye mchakato wa mwisho kutangaza ajira 600 za fani ya ugavi na ununuzi, na 600 tena za uhasibu, ili kupata uhakika 2naomba mwenye info za uhakika atujuze.
 
Dah, mimi sijapata hizo tetesi, lakini budget si ilisema mwaka huu kutakuwa na ajira mpya 64000 sasa inakuwaje wanatoa 600 tu.
 
Hii habari itatufanya tusitishe ajira huku sekta binafsi maana mnakuja tuu kutafuta uzoefu halafu mnakimbilia serikalini.
 
Dah, mimi sijapata hizo tetesi, lakini budget si ilisema mwaka huu kutakuwa na ajira mpya 64000 sasa inakuwaje wanatoa 600 tu.

kwa mdau aliyeko ndani anasema mchakato ndo umemalizika soon watatoa hizo 600 za ununuzi na 600 za uhasibu, nafikiri ndo wameanza
 
Habari wana jf! Nimepata habari kwa mdau kuwa hazina pamoja na utumishi wapo kwenye mchakato wa mwisho kutangaza ajira 600 za fani ya ugavi na ununuzi, na 600 tena za uhasibu, ili kupata uhakika 2naomba mwenye info za uhakika atujuze.
zote ni tetesi!
 
Km ni kwel itakua poa coz wanaugavi wapo wngi sana mtaani wanasubir nafasi km hzo jaman.
 
Mwaka huu serikalini hakuna ajira zaidi ya waalimu na madaktari,serikali haina hela
nawasilisha kutoka hapa utumishi
 
Hata mimi nilisikia kuwa mwaka huu wataajiri watu wa elimu na Afya tu tena wachache.Ila kama ni kweli well n good.Walengwa tupo tunasikilizia hizo ajira zitoke tukutane sokoni.
 
habari wana jf! Nimepata habari kwa mdau kuwa hazina pamoja na utumishi wapo kwenye mchakato wa mwisho kutangaza ajira 600 za fani ya ugavi na ununuzi, na 600 tena za uhasibu, ili kupata uhakika 2naomba mwenye info za uhakika atujuze.

wanaharakati wenye fani hizo muombe kwa nguvu zote kwani inakuwa vigumu sana kupinga ufisadi ukiwa nje ya system, lakini ukiwa ndani itakuwa rahisi sana. Cha msingi na sekondari ni kuwa na commitment tu.
 
Nafikir itakua poa km kweli hizo ajira zitatoka,coz wanaugavi wapo wengi kitaa wanasubir nafas km hzo.
 
Hata mimi nilisikia kuwa mwaka huu wataajiri watu wa elimu na Afya tu tena wachache.Ila kama ni kweli well n good.Walengwa tupo tunasikilizia hizo ajira zitoke tukutane sokoni.

Tunazisubiria ile mbaya yan wazilete tu men:majani7:
 
kama una Bibi A? Tafuta mtaji uendeshe yako! Teh teh teh yani m2 anataka kuendeshwa kama punda wakati namna ya kufanya Bussnes anajua? Omba ajira makampuni binafsi upate mtaj fasta uchape lapa Govment kila kazi ni wito ndugu!
 
Ni kweli mie nafanya kazi pale ipo chini ya Hazina wamepewa kibali cha kuajiri watu mia na ishirini 120 ambao ni wagavi na wahasibu na wachumi andaeni pesa tu za application.
 
haya sasa 600ugavi+600uhasibu=1200ajira. idadi ya graduands wa mwaka huu tu t.i.a+cbe+ifm+udsm+mzumbe+udom+masoka moshi+tumaini+st.john+saut(kwa hizo kozi tu)=13469 na bado vyuo vingine sijajumlisha pia sijajumlisha wale wa miaka ya nyuma n.k TAFAKARI.
 
Back
Top Bottom