Tetesi: Hali ya hatari/state of Emergence kutangazwa Congo DRC ili Kabila aendelee na himaya.

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
5,063
2,000
Habari wadau wa JF international forum.

Kwa tetesi ambazo naamini zitageuka kweli ni kuwa licha ya uchaguzi kuahirishwa hadi 30/12 ni kuwa huenda usifanyike kabisa.

Chanzo changu cha uhakika kimenijuza kuwa uchaguzi uliahirishwa makusudi kuwachokoza wapinzani wafanye fujo ili hali ya hatari itangazwe na uchaguzi kutofanyika kabisa.

Chanzo hicho nyeti kimedai baada ya wapinzani kuafiki kuahirishwa huko bila fujo, Kabila amekasirika sana na anapanga jambo jingine ili kuwakera kabla ya tarehe hii mpya ya uchaguzi.

Lengo kuu la Kabila ni kuibua tafrani kupitia wapinzani na aahirishe uchaguzi moja kwa moja na Congo kutawaliwa kwa sheria za hali ya hatari huku akiendelea kubaki ikulu ya Kinshasa.
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,672

Naona Kabila akijiandalia kifo cha kudunguliwa kwa risasi kama Baba yake.
 
mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,909
2,000
Congo, ukisema tu congo ni hatari

Iwe hatari mara ngapi sasa
 
basheer

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
200
250
No swala la muda tu ataondoka tu hakuna aliedumu milele hata mobutu aliondoka sembuse yeye kwani
 
Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
4,495
2,000
soin utasikia kuna jaribio feki la mapinduzi na hali ya hatari itatangazwa kwa miaka 5 aisee urais raha sana sijajua kwa nini jk aliuachia kirahisi vile
 
Eratosthenes

Member
Mar 13, 2013
55
125
Namuona Kabila amekubali kama hadi sasa hamna state of emergency! Japo kwa alivyohojiwa jana na BbC pamoja na DW Idhaa ya kiswahil naisi kama kuna mpango kabambe anaupanga hata uchaguzi ukimalzika!!! Anyway, lets wait and see!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom