Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,230
- 6,469
Baada ya kifo cha kuhuzunisha cha Faru Fausta aliyekuwa moja ya vitega uchumi nchini, sasa inasemekana atakushwa na kuwekwa eneo maalum.
Lengo kuu ni kuendelea kuliingizia taifa hela za kigeni kupitia utalii wa ndani na nje na pia utafiti kwa vizazi vya baadae vyenye kuvutiwa na wanyama pori.
Amenidokeza Afisa wanyamapori. Je, hajaanza kuoza au nazo hizi ni siasa?