Tetesi: Faru Fausta kukaushwa na kuendelea kuliingizia taifa fedha za kigeni

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,224
6,467
Baada ya kifo cha kuhuzunisha cha Faru Fausta aliyekuwa moja ya vitega uchumi nchini, sasa inasemekana atakushwa na kuwekwa eneo maalum.

Lengo kuu ni kuendelea kuliingizia taifa hela za kigeni kupitia utalii wa ndani na nje na pia utafiti kwa vizazi vya baadae vyenye kuvutiwa na wanyama pori.

Amenidokeza Afisa wanyamapori. Je, hajaanza kuoza au nazo hizi ni siasa?
 
Baada ya kifo cha kuhuzunisha Cha Faru Fausta aliyekuwa moja ya vitega uchumi nchini, sasa imebainika atakushwa na kuwekwa eneo maalumu. Lengo kuu ni kuendelea kuliingizia taifa hela za kigeni kupitia utalii wa ndani na nje na pia utafiti kwa vizazi vya baadae vyenye kuvutiwa na wanyama pori.

Amenidokeza Afisa wanyama pori. Je hajaanza kuoza au nazo hizi ni siasa?
Kwa hivyo hata Rest In Peace tena?
 
Ni kawaida sana kuona wanyama, wadudu, na hata binadamu kukaushwa
Ni jambo zuri na litaingiza Pato pia

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Si
Baada ya kifo cha kuhuzunisha cha Faru Fausta aliyekuwa moja ya vitega uchumi nchini, sasa inasemekana atakushwa na kuwekwa eneo maalum.

Lengo kuu ni kuendelea kuliingizia taifa hela za kigeni kupitia utalii wa ndani na nje na pia utafiti kwa vizazi vya baadae vyenye kuvutiwa na wanyama pori.

Amenidokeza Afisa wanyamapori. Je, hajaanza kuoza au nazo hizi ni siasa?
Hata mimi nilifikiri hivyo lakini baada ya kuona picha ya postmortem yake haitawezekana tena kwani wamemchinja kama ng,ombe wa machinjio ya kienyeji.
 
Baada ya kifo cha kuhuzunisha cha Faru Fausta aliyekuwa moja ya vitega uchumi nchini, sasa inasemekana atakushwa na kuwekwa eneo maalum.

Lengo kuu ni kuendelea kuliingizia taifa hela za kigeni kupitia utalii wa ndani na nje na pia utafiti kwa vizazi vya baadae vyenye kuvutiwa na wanyama pori.

Amenidokeza Afisa wanyamapori. Je, hajaanza kuoza au nazo hizi ni siasa?
Arusha kuna kampuni ya Arusha Taxidermist ambayo hutengeneza taswira ya mnyama na ndege aliyeuawa au kufa kwa kujazia ndani ya ngozi na kurejesha muonekano wa kiumbe hai! Kiwanda hili kiko miaka mingi sana yangu 70's.
 
Back
Top Bottom