Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

Status
Not open for further replies.

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Kapelekwa Lugalo na hali yake ni mbaya sana

still developing...na source yangu ni very credible...ile ile kama iliyonipa habari za Chenge kuresign

Anyway kama kanywishwa au kanywa mwenyewe then kuna theory akawa naye ni BANGUSILO
eacart280408.jpg


BTW kama aliweza ku account for ile transfer ya DOLA LAKI SITA KWA IDRISSA RASHID then sidhani kama kunyangwa ile laptop pale nyumbani kwani na jamaa wa SFO/USALAM WA TAIFA nako kunaweza ku prove kitu

huyu mwanasheria mzima anaonyesha alikuwa very sloppy kwenye dealings zake lakini cha muhimu ni yeye kuwa na malawyers wazuri tuu

 
..vipi wakulu kuna habari yoyote mpya katika masaa 24 yaliyopita kuhusu mmoja wa hawa wakuu au wote.....search..search.....

maana taarifa za fununu si vema wakati ..jf ina mkono mrefu!!
 
..just coincidence ..namimi kuna tetesi za ajabu nimezipata...sijapenda kuandika ni nini..naamini atatokea mtu anaweza kuwa na taarifa za uhakika zaidi miongoni ,mwetu..

..ila kama ni hivyo ..hali inatisha..ndio maana namimi nimepost thread imeingia na hii pamoja ..nauliza..karamagi??..chenge??
 
kanywa au kapewa? source yako mkuu inasemaje?
yaani kaikoroga mwenyewe kisha akanywa?
 
Sidhani kama kweli kanywa sumu kwani kuwa na PAUNDI MILIONI 15 kwenye account si sababu ya kujua considering mapesa ambayo MKAPA na MKEWE nasemekana waliiba

thats peanuts....

Ila kuna ka WITCH HUNT kanaendelea na na naona ile inner circle inaanza ku crack


Change kama alikuwa na accountants wazuri sidhani kama atakuwa na wasi wasi na kama angkuwa na akili za kuficha pesa zake CHINA sidhani kama yote haya yangetokea

Anyway its still developing...
 
..just coincidence ..namimi kuna tetesi za ajabu nimezipata...sijapenda kuandika ni nini..naamini atatokea mtu anaweza kuwa na taarifa za uhakika zaidi miongoni ,mwetu..

..ila kama ni hivyo ..hali inatisha..ndio maana namimi nimepost thread imeingia na hii pamoja ..nauliza..karamagi??..chenge??


kama nakusoma vizuri yaelekea fununu ulizopata zinatisha zaidi.
 
Typical 'mafia' style! Mafisadi wanataka kuharibu ushahidi? Mungu amnusuru ili aweze kujibu tuhuma hizi za 'vijisenti'
 
Habari zinazoingia zinatisha ila so far inaelekea zaidi kwenye matatizo mengine zaidi ya sumu! watch this space!
 
...mwanasheria wa chenge alikuwa ametoa onyo kuwa angeumbua kashfa za vigogo walioserikalini..wanaompiga vita chenge..kwa nafasi zao dunia ingebaki mdomo wazi!!!!

sasa ...kanywa..au kanyweshwa...polonium 310???...alafu kama ameepelekwa huko kazi ni kumalizia tu....ushahidi??....naamini wakili wake hawatampata..
 
kama nakusoma vizuri yaelekea fununu ulizopata zinatisha zaidi.


.......kweli !!..zangu zinasema wote wawili..niiliotaja kwenye thread yangu ambayo ishaunganishwa hapa..tusubiri tuone...

hapa hakuna kulala hadi tujue nini kinaendelea...
 
Sidhani kama kweli kanywa sumu kwani kuwa na PAUNDI MILIONI 15 kwenye account si sababu ya kujua considering mapesa ambayo MKAPA na MKEWE nasemekana waliiba

thats peanuts....

Ila kuna ka WITCH HUNT kanaendelea na na naona ile inner circle inaanza ku crack


Change kama alikuwa na accountants wazuri sidhani kama atakuwa na wasi wasi na kama angkuwa na akili za kuficha pesa zake CHINA sidhani kama yote haya yangetokea

Anyway its still developing...

Ndio tatizo la wizi, huwezi kuwa makini hata siku moja. Na tatizo linakuja zaidi pale mtu anapoanza kuiba huanza na kuiba kidogo, the anasikilizia. Akiona hakuna aliyegundua basi anaendelea na kuiba kikubwa zaidi without taking any precautions and thinking that all others are cowards and him managing deals he is brave. Ndo hayo sasa yanawatokea puani, iwe kanyweshwa au kanywa anajua alipokosea anataka kuchukua tactic ya Mkwawa.
 
Sipendi kuwa shabiki wa conspiracy theories lakini kama nia ilikuwa ni KUM NEUTRALIZE, i dont think this was the best way to go on about it.

Hapakama wangekuwa wajanja walitakiwa wawe smart na mahakama through legal loop holes ambazo kwa Tanzania ni kama MKATE WA KINGAZIJA ....unajua tena mambo ya LEGAL MUMBO JUMBO

na kwa style ya uandishi wa akina KUBENEA/MWANAHALISI basi...unaweza uka claim mistrial kisha bas. aana kwenye kesi ya mafisadi tayri watu wanatajwa na leaks zinatokea huko huko ndani sasa mtu atapataje fair trial na Charade ya fulani kaiba fulani kaficha


 
Yoyote anayetaka kumwaga upupu anaishia Lugalo mnakumbuka mbunge aliyetaka kuwachoma wauza unga? Heri yake Balali alikimbia mapema ingawa walitaka kumwahi huko huko alikokimbilia.

Ukianza kula nyama ya binadamu huwezi kuacha CCM wameonja hiyo nyama sasa hawawezi kuacha tutaona mengi mwaka huu.
 
Isiwe ni ka game ka siasa kutafuta sympathy from wananchi.....maanake sasa hivi mimi namwonea huruma sana na jana nilikuwa namchukia vibaya sana
 
Na hapa inatia wasiwasi kuhusu hatma ya balali. Vijisent, mkapa na balali ndio walikuwa maengineer wa ufisadi. Muda si mrefu tutasikia Mkapa naye kacommit suicide!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom