Tetesi: Barcelona yafungiwa kushiriki michuano mikubwa

Tatizo la waingereza ni wabishi na unazi usio na maana sababu ukiwaambia hawajui mpira na ligi yao ni dhaifu ukifananisha na ligi za wengine europe ambazo hawajazi mamluki ya kununua west africa wanakuwa wabishi kweli sasa ilo limejidhihirisha na imesaidia sana kupunguza kelele humu mijini kwetu maana tusingelala kwa makelele siku ile.
 
Ila siyo mbaya maana dawa ya litoto litukutu ni makonzi tu.walianza na zee la domo morinho wakampa kitu kizima full six sasa wamemalizia kwa zee la mabablishi kwa kitu half qurter kudadadeki.
 
Man u poleni. Ule muziki haukuwa size yenu, Nilichofurahi ni jansi wa2 wanavyopenda kazi zao. Fegy alipokuwa akitetemeka akishuhudia mvua ya magoli, Hakudhani yataishia 3 alijua yatakuwa zaidi. Thanx to Van de sar, ingekuwa huku kwetu. Kocha wala haimuumi kitu, Tena ukimwambia mbona umefungwa atakuambia. Mbona kawaida tu
 
Wanachofanya Barca na Messi ni illegal kwenye football.
 
Ilipotolewa arsenal,Man U walikejeri sana...hawakujua!hawakujua!

Tena bora aseno kwani wamefungwa wakiwa pungufu, na hawajawahi kufungwa wakiwa katika nchi yao, tofauti na hawa red devils wamefunuliwa wakiwa kwao, mbele ya wake zao, watoto wao, na hata wajakazi wao.

Magamba united oyeeeee!
 
Je,makocha wa kitanzania wamejifunza chochote?mpira wao ni wa maneno tu.simliona simba walikosa pumza dakika za mwisho.
aah, mi nilisikia vibaya eeh, eti walichezesha mamuluki toka sayari nyingine na tayari wanawasiliana na ragge akawasaidie kukata rufaa fifa.
 
:biggrin1::biggrin1::biggrin1: na bahati yao walikuwa wawaloweshe kama 7 hv :biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Nimesikia wamekata rufaa,kwanini messi anacheza mpira kama ule wa kuumiza viuno wenzake, tete tete
 
Back
Top Bottom