TETESI: Baba Mzazi wa Diamond Amtaka Diamond Kumuoa Wema Sepetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TETESI: Baba Mzazi wa Diamond Amtaka Diamond Kumuoa Wema Sepetu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MaxShimba, Oct 17, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  [​IMG]

  BABA mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz', Abdul Juma amefunguka juu ya mrembo anayetaka aolewe na mwanaye huyo.

  Akizungumza na paparazi jijini Dar, Mzee Abdul, mkazi wa Magomeni Kagera, Dar alisema awali alimtaka Diamond aoe Akasema baada ya Diamond kuchomoa, mwaka jana alimpeleka Wema nyumbani kwake na kumwambia ndiye chaguo lake.

  "Niliwahi kumwonesha Diamond msichana wa kumuoa, lakini akampotezea, mwaka jana akaja na Wema akidai ndiye chaguo lake.

  "Hata hivyo, baadaye nikasoma kwenye magazeti ameachana na Wema, sasa yupo na Jokate, mara nikasikia amerudiana na Wema, mara amepata mwingine Kenya, lakini mimi nasema, Diamond muoe Wema, ndiye mwanamke anayekufaa mwanangu," alisema mzee huyo. msichana asiye maarufu na alimtambulisha kwake, lakini msanii huyo akachomoa.
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mambo ya kuchaguliana wachumba ni ya kizamani sana
   
 3. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kwani wasanii wa bongofleva wanaoa? Asubiri amalize kuonja k za mademu wa bongo movies kwanza!
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kutafuta umaarufu uzeeni shida sana!
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,250
  Trophy Points: 280
  Amesahau ya babake kanumba eeh?
   
 6. W

  Wajad JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Ndoa za mastaa huwa hazidumu
   
 7. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Kama kweli babake Diamond katoa komenti kuhusu kijana wake na mpenziwe wa longi shida iko wapi? Mbona babake Rihanna kasema anataka binti yake aolewe na X wake Chris Brown na inaonekana ni changamoto tu? Maisha ya ustaa mambo hayo ni kawaida tu.
   
Loading...