Tetemeko lingine la ardhi latokea Kumamoto, Japan

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
16,108
25,985
Kumamoto has had: (M1.5 or greater)
  • 7 earthquakes today
  • 22 earthquakes in the past 7 days
  • 22 earthquakes in the past month
  • 40 earthquakes in the past year
The largest earthquake in Kumamoto:
Japan
Earthquake Alerts via Twitter:





Na tetemeko hilo lilikuwa kwa kiwango cha point 7, kwenye Richter Scale.
Ikumbukwe kuwa hili tetemeko ni lile linaitwa secondary earthquake baada ya lile la jana lilkiwa katika kiwango cha 6.2 kwenye Richter Scale.

Poleni sana wakazi wa Kumamoto, Japan.
 
Nilicheka sana leo nilikuwa nasikiliza taarifa ya habari ya saa 10 kamili jioni, radio Tumaini FM, mtangazaji Ashura Kishimba alipofika kwenye hilo jina "K..mamoto" akasoma "KAMAMOTO".
Asante sana kwa kushare hisia zako na wanajamvi nimejisikia kucheka sana mtangazaji mwenyewe wa kike hivyo alihonea aibu
 
Aisee raha sana ingefaa apelekwe yule balozi aliyekataliwa na tanzania bw. Musenge Mukuma akatumikie huo
 
Hili ni tetemeko jingine kwa kumamoto.
aisee pole yao sana unajua huko KumaMoto ni ukanda ambao una movement za tectonic plates mara nyingi hivyo kufanya matetemeko kutokea mara kwa mara. Poleni sana wana KUMAMOTO.
 
Back
Top Bottom