Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu?

Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC)
--
Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro
Du...mimi nilikuwa na mchepuko wangu mitaa fulani ghorofani huko.
Nikajihisi kama nasukumwa sukumwa ili kunichomoa kwenye shughuli yangu nyeti.
Mtu simwoni!!
Basi nkasema we , pepo ushindwe, ushindwe mara mtikisiko ukakoma!
 
Hahaahahahaahah
 
Back
Top Bottom