Tetemeko la ardhi lasikika maeneo ya Kanda ya Ziwa Victoria

Kwa Kweli Kakola,Nyarugusu na Geita Limepiga ila Kwa Kakola na Nyarugusu Impact Ilikuwa Kubwa zaidi ya hata ilivyopiga kipindi Kile cha Maafa yalioikuta Wilaya ya Misenyi na Kagera kwa Ujumla
 
Hili tetemeko balaa, huku kwetu Nyarugusu-Geita nyumba zimetikisika kwelikweli,zimetufanya tuandamane vyumbani,sebuleni tukihaha wapi tutokee,Tetemeko limesahau kwamba wenye nji walisuia miandamano! hatareeeeee
 
huko nyumbani kwetu
ndo waliponipa kura.
hata mngekufa ningewatengenezea masanduki na majeneza ya dhahabu.
msiogope.
mwacheni Israel afanye kazi yake.
 
Back
Top Bottom