Tetemeko la ardhi lasikika maeneo ya Kanda ya Ziwa Victoria

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,037
9,952
Muda huu tetemeko la ardhi limepita huku Mwanza nakagua gheto langu kama limesalimika

=======================
Tetemeko la Ardhi lenye ukubwa wa 4.6 limetokea maeneo ya kanda ya ziwa usiku wa kuamkia leo.

>>>Taarifa ya chini inaonyesha Maeneo na Umbali kutoka kwenye Kitovu cha Tetemeko hilo:
  • Masumbwe, Tanzania 31.3 km (19.5 mi) NE
  • Ushirombo, Tanzania 47.1 km (29.2 mi) E
  • Kahama, Tanzania 50.3 km (31.2 mi) NNW
  • Mhango, Tanzania 54.5 km (33.8 mi) WSW
  • Geita, Tanzania 67.2 km (41.8 mi) SSE
Screenshot_2018-03-25-09-42-00-1.png
 
Majira ya saa 0.18 usiku huu tetemeko la ardhi lililodumu kwa wastani wa dakika 1 limetikisa geita.tusubiri vipimo vya wataamu tujue ukubwa wake na kama kuna madhara yametokea
 
Back
Top Bottom