Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,005
- 9,872
Watu 14 wafariki katika tetemeko la ardhi katika eneo la Mashariki mwa Uturuki.
Tetemeko la ardhi ambalo lilikuwa na ukubwa wa 6.7 katika kipimo cha Richter limetokea Elaziğ na kusababisha vifo vya watu 14 na kuwajeruhi watu wengine zaidi ya 300.
Tetemeko hilo limetokea majira ya saa mbili.
Taarifa iliotolewa na shirika ambalo ambalo linahusika na kutoa huduma ya kwanza katika matukio ya dharura AFAD imefahamisha kuwa ni watu 14 ambao wamefariki huku ikihofiwa idadi hiyo kuongezeka.