Mh. Rais hii jaribio katika uongozi wako.
Wahisani wanataka wakuchokonoe ukasirike utoe maamuzi ya hasra ili wapate kukuwekea vikwazo vya kiuchumi. Vikwazo vya kiuchumi ndo vibaya sana, maana watalazimisha nchi zingine kutofanya biashara na Tanzania kwa sababu umefunga MIRIJA yao. Hili la kutunyima msaada si kitu ni mapito tu na tutapita, ila jiepushe wasije pata sababu ya kukuwekea vikwazo vya kiuchumi.
1. Nini ufanye, kaa kimya usijibizane nao, waache kama vile huwasikii.
2. Fanya juhudi za mda mfupi na za haraka tuweze ku supply bidhaa kwa nchi za africa hasa zinazotuzunguka. Na kitu rahisi kabisa cha kufanya, serikali itenge ilime mazao ya chakula na tu export kwa ndugu zetu wanaotuzunguka wana njaa. sisi erable land tunayo ya kutosha, hivyo tunaweza lima wakati wote.
Serikali itoe bilion 10 kila mkoa kwa mfano, na mkoa uwe unapewe hiyo bilion 10 wazarishe kiasi fulani cha mazao yanayositawi ktk mkoa. Hii ndo iwe primary ya wakuu wa mikoa na wilaya kusimamia haya mashamba. Mkuu yeyote akishindwa kufikia malego na awe fired.
3. Plan za mda mrefu ndo, mambo ya viwanda na mengineyo. Ila kwa sasa nafikiri tujikite ktk kilimo ndani ya mwaka mmoja tunalisha afrika nzima na umasikini unakoma. Mtaji wa kilimo ni mdogo kulinganisha na mipango mengine.
NB: Mashamba sio lazima serikali iyalime, watoe hizo bilioni uite private sekta wape hiyo hela walime na CEO wa hayo mashamba ni Mkuu wa wilaya, Mkoa nk.