HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,118
- 93,846
Na umeme wetu huu unaweza likokota hadi uendapoNi kweli kabisa.
Mf. Unatoka Dar kwenda Arusha, ukisimama sehemu ya kula hata kwa 15 mins. Unaweza kuongezea chaji gari yako ikakupa hata 200 km extra ukawa umefidia km zote za kutokea mwanzo.