Termination benefits!

Nsimbi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
1,091
1,202
Jamani eti mfanyakazi akifanya kazi miaka sita halafu mwajiri akasetisha mkataba haki zake Ni malipo Gani ukiacha nssf au ppf. Akipunjwa afanyeje ili kudai haki yake? Please help
 
Mkataba wako ulikuwa ni wa muda gani?

Mkataba ulisema nini juu ya termination of contract?

Mna Article inayo govern ajira zenu?

Sababu ya termination yako ni ipi?

Naomba majibu ya haya maswali nijue la kusema.
 
Jamani eti mfanyakazi akifanya kazi miaka sita halafu mwajiri akasetisha mkataba haki zake Ni malipo Gani ukiacha nssf au ppf. Akipunjwa afanyeje ili kudai haki yake? Please help
Ni vizuri utafute mwanasheria akueleweshe zaidi, lakini kwa uelewa wangu mfupi na umepunguzwa na muajiri wako, muhimu ni haya;
1. Inatakiwa kikao cha wafanyakazi wote akiwemo muajiri ili kujulishana hali na mstakabari wa kampuni
2. Inatakiwa mpewe barua ya kuwajulisha wafanyakazi wote miezi mitatu kabla ya zoezi la kupunguza, pia hii barua inaweza kuandikwa na kubandikwa ubao wa matangazo ambao kila mfanyakazi ataisoma.
3. Baada ya miezi mitatu, wafanyakazi waliopunguzwa inatakiwa kila mmoja apewe barua yake ikiainisha sababu za kupunguzwa
4. Baada ya kupata barua, inatakiwa muajiri akae na nyie kikao ili kuwapa taarifa kamili, ushauri, na namna ya kusaidiana
5. Baada ya hicho kikao inatakiwa kila mfanyakazi kwa wakati wake wakutane na uongozi ili kuongelea malipo yako, utalipwa miezi mingapi na kwanini wakulipe miezi hiyo.
NB: Sheria ya nchi ya ajira inasema mfanyakazi akiajishwa kazi kwa sababu zinazohusu kampuni inatakiwa ulipwe miezi 12
 
Mkataba wako ulikuwa ni wa muda gani?

Mkataba ulisema nini juu ya termination of contract?

Mna Article inayo govern ajira zenu?

Sababu ya termination yako ni ipi?

Naomba majibu ya haya maswali nijue la kusema.

Renewable after two years. Sababu ya termination Ni eti utoro!
 
Mwajiri akisimamisha mkataba baada ya mfanyakazi kufanya kazi let say miaka4 anatakiwa kumlipa nini kisheria!!!
 
Renewable after two years. Sababu ya termination Ni eti utoro!
Je kikao cha nidhamu kiliitishwa kujadili hilo? Utoro huo ni sugu ama? Kuna onyo lolote liliwahi tolewa?

Terminal benefits zipo ila kuna malipo kama ya kiinua mgongo yaani 'severance pay' huwezi pata kama umeachishwa kazi kwa utovu wa nidhamu yaani 'misconduct'

Yawezekana kuna mgogoro wa kisheria hapo kama uachishwaji wa kazi haujakidhi matakwa ya muhimu, ili kuona maslahi unayosyahili ni vyema tuone je hiyo termination ni far or unfair.
 
Back
Top Bottom