Huyo mwajiri ni serikali au private sector?
OkNi mwajiri sekta binafsi
kama hajajiunga?Nenda TUICO
Ni vizuri utafute mwanasheria akueleweshe zaidi, lakini kwa uelewa wangu mfupi na umepunguzwa na muajiri wako, muhimu ni haya;Jamani eti mfanyakazi akifanya kazi miaka sita halafu mwajiri akasetisha mkataba haki zake Ni malipo Gani ukiacha nssf au ppf. Akipunjwa afanyeje ili kudai haki yake? Please help
Mkataba wako ulikuwa ni wa muda gani?
Mkataba ulisema nini juu ya termination of contract?
Mna Article inayo govern ajira zenu?
Sababu ya termination yako ni ipi?
Naomba majibu ya haya maswali nijue la kusema.
Nenda TUICO[/QUOTE
Ni media
Mkataba wako ulikuwa ni wa muda gani?
Mkataba ulisema nini juu ya termination of contract?
Mna Article inayo govern ajira zenu?
Sababu ya termination yako ni ipi?
Naomba majibu ya haya maswali nijue la kusema.
Je kikao cha nidhamu kiliitishwa kujadili hilo? Utoro huo ni sugu ama? Kuna onyo lolote liliwahi tolewa?Renewable after two years. Sababu ya termination Ni eti utoro!
Akili huna hata kidogoRenewable after two years. Sababu ya termination Ni eti utoro!