Terehe 14 Disemba, 2021, DPP atawasilisha Nolle kesi ya akina Mbowe?

Mgodi sawa ila itakua jambo la busara kutumia akili kuona athari iliyopo mbele yao wasipochukua hatua sahihi. Kuna madhara makubwa sana kwao na kwa serikali.
Halafu ukiangalia ni kikundi cha watu wachache sana walikuwa wana fanya huu unyama, ukitaja Arusha ni Kingai, Mahita, Msemwa,... Ukienda Moshi hao hao, ukienda Tabora wale wale, ukienda Mwanza. Wale wale. Kwanini iwe hivyo? Kwamba hakuna maaskari wengine? Hawa wanatakiwa wakamatwe waelezi walitumwa na nani kufanya huu uhuni. Sio Nolle tuu
 
Nyie endeleeni tu kuwapa matumaini ya uongo wafuasi wenu. Serikali wana ushahidi wa ugaidi. Ujanjaujanja wa kiwakili hauwezi kuepusha kesi kuendelea hadi hukumu.

Ushahidi unaoonyesha watuhumiwa walikua point-A wakati walikua point-C.?

Ujue kuongea nakukumbuka ukweli ni rahisi sana,

Kukumbuka Uongo ni kazi sana.
🌍
🇹🇿
✌🏼
 
Hakika umenena ukweli wako ulio moyoni mwako. Kuna watu wameshikilia habari za kwamba Mbowe ni gaidi. Ngoja tuone mafuta yakijitenga na maji.

Kama ni gaidi au sio gaidi mahakama itathibitsha

Tuwe watulivu tuu

Na Mungu ampe Lilian na watoto wake imani
 
Hawa makomandoo wa JWTZ wameteswa sana aisee, mateso makali kudhalilishaji wa ubinadamu wao, hata JWTZ wenzao wasifurahie kitendo hiki kabisa kabisa.

Hii kesi ifutwe tu, maana inaleta simanzi kubwa miongoni mwa watanzania.
Kuteswa tu wamesaidiwa. Kwa mujibu wa kazi yao na tuhuma zao adhabu yao ilikuwa ni kifo.
 
Halafu ukiangalia ni kikundi cha watu wachache sana walikuwa wana fanya huu unyama, ukitaja Arusha ni Kingai, Mahita, Msemwa,... Ukienda Moshi hao hao, ukienda Tabora wale wale, ukienda Mwanza. Wale wale. Kwanini iwe hivyo? Kwamba hakuna maaskari wengine? Hawa wanatakiwa wakamatwe waelezi walitumwa na nani kufanya huu uhuni. Sio Nolle tuu

Nafikiri familia zao zitakua na ulinzi mkali sana sasa hivi. Hata jaji na mawakili wa mashtaka, bila kusahau mashahidi wao.

Hii kesi imewaanika vibaya sana uovu wao.
 
Nafikiri familia zao zitakua na ulinzi mkali sana sasa hivi. Hata jaji na mawakili wa mashtaka, bila kusahau mashahidi wao.

Hii kesi imewaanika vibaya sana uovu wao.
Ila sidhani kama watapewa ulinzi maisha yao yote. Siku ulinzi ukiwa loose, hata kama Kingai, minja, mahita, tiganga, mawakili wa serikali watakuwa na miaka 100, ni kuwafumua marinda tu hakuna namna. Wamejeruhi sana myoyo ya watu.
 
Huko unafika mbali sana, unajua asili ina namna yake ya kutoa haki. Haiwezi kupindishwa.

Kuna watu walipiga ushindi wa kishindo, asili ikaamua kuwaonyesha kwamba binadam ana ukomo wake.
 
Huo ushahidi watauwasilisha lini?
Nyie endeleeni tu kuwapa matumaini ya uongo wafuasi wenu. Serikali wana ushahidi wa ugaidi. Ujanjaujanja wa kiwakili hauwezi kuepusha kesi kuendelea hadi hukumu.
 
Back
Top Bottom