Terehe 14 Disemba, 2021, DPP atawasilisha Nolle kesi ya akina Mbowe?

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,355
2,000
Hivi karibuni Mama atanawa " Si niliwaambia mkasema Mna ushahidi usio Shaka yako wapi? Mambo ya dhambi, dhuluma.."
Sunsiro atastaafu kwa aibu kubwa.
 
liwaya

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
1,334
2,000
Mawakili wa Serikali waliomba muda Zaidi kuandaa Maelezo yao ya maandishi kwani Mh. Jaji mwenyewe alikuwa tayari kutoa uamuzi wake kesho. Baadhi ya waliowasikia Wanasheria wa Serikali walivyotoka jana wanadai kuwa iwapo uamuzi utatoka kuonesha Mtuhumiwa Ling'wenya aliteswa basi Serikali itaendelea kuumbuka. Kutokana na hali ilivyo na kwa dalili walizoziona kwenye kesi ndogo iliyokamilika kusikilizwa jana wameshauriana wawasilishe ombi la "Nolle" ili kesi isiendelee na watafute namna ingine ya kujisafisha.

Jana hiyo Mawakili wa Serikali walikuwa desparate sana wakiona kuwa wamepewa kesi ambayo imeanza kuwachafua katika jamii yetu. Walisikika wakimwomba Kiongozi wao Kidando aakutanishe kwa DPP kujadili hilo.
Duh maji ya shingo kbs
 
This is...

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
3,139
2,000
Nyie endeleeni tu kuwapa matumaini ya uongo wafuasi wenu. Serikali wana ushahidi wa ugaidi. Ujanjaujanja wa kiwakili hauwezi kuepusha kesi kuendelea hadi hukumu.
kwani wewe na wao ndyo mawakili mnaoendesha kesi. Hata wewe ulichoandika unakijua uhalisia wake. Au wewe Ni DPP.

Watu wanzungunza sheria. Hakuna mahali utetezi umeomba kesi ifutwe . Watu wanatafsiri kile kinachoendelea mhakamani kiwe Cha haki au dhulma kulingana na kesi ilivyo.

Btw katiba ni kwa ajili ya nani km si kwa ajili ya watz wote mm na wewe .
 
Babe la mji

JF-Expert Member
Dec 14, 2019
581
1,000
Wanajeshi ni watu ambao wamejiandikisha ili kuifia nchi na hakuna uzalendo mkubwa kuliko huo .Sasa watu kama Hawa ndo wa kuteswa na kusababishiwa ulemavu?,Wamepata matatizo wakiwa kazini mmewafukuza kazi kwenye malipo mmewanyima haki zao na katika kujitafutia kipato Chao ili waweze kuzihudumia familia zao mnawakamata eti wanapanga ugaidi,Je Kuna uonevu mkubwa zaidi ya huu?Mungu ni mkubwa na Kila mtu atalipwa kulingana na matendo yake lakini wote walioshiliki hivi vitendo ni kwamba wameshapata laana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babe la mji

JF-Expert Member
Dec 14, 2019
581
1,000
Mbowe aachiliwen arudi Dubai akaendelee na biashara zake za kitajiri

Issue za katiba mpya na kuwapiganua mang'ombe yasiyoweza hata kuandamana hata kama yameingiziwa mikunyange matakoni
Hapana usiwalaumu Wananchi wanajua haki zao lakini kumbuka Kila harakati huwa na kiongozi wake na Mungu kampa hiyo nafasi Mbowe na kweli hiyo kazi ataikamilisha kwa kuwapa Watanzania katiba mpya .Mwakani mchakato wa katiba mpya unaanza kuweni na subra.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ILLICH

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
217
250
Nyie endeleeni tu kuwapa matumaini ya uongo wafuasi wenu. Serikali wana ushahidi wa ugaidi. Ujanjaujanja wa kiwakili hauwezi kuepusha kesi kuendelea hadi hukumu.
Ugaidi upi unaouzungumzia hapa?hivi kwa akili zake timamu unaona kuna ugaidi pale?
 
Ngunichile

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
305
500
Hiyo ni ndoto maana kila siku wanalipwa 120000 nje na mishahara yao mpaka kesi itakapo isha baada ya miaka 3, huo ni mgodi unaotembea mkuu

Shemeji yangu anauza genge maeneo ya Bunju na kila siku anatumbukiza 170,000 kwenye kibubu.
 
Ntozi

Senior Member
Feb 1, 2021
150
250
Hivi karibuni Mama atanawa " Si niliwaambia mkasema Mna ushahidi usio Shaka yako wapi? Mambo ya dhambi, dhuluma.."
Sunsiro atastaafu kwa aibu kubwa.
Hata akistaafu,lakini hili jambo kama ni la uongo, na kama yaani ni la kutunga tu,hapana,ni vizuri lisijerudia tena.Ni hatari Kwa maslahi mapana ya nchi.Maana tusijifariji, ukionaEU wanatia neno katika jambo lako,ujue wapo mbele hatua kadhaa juu ya hilo jambo.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Tardy

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
816
1,000
Mawakili wa Serikali waliomba muda Zaidi kuandaa Maelezo yao ya maandishi kwani Mh. Jaji mwenyewe alikuwa tayari kutoa uamuzi wake kesho. Baadhi ya waliowasikia Wanasheria wa Serikali walivyotoka jana wanadai kuwa iwapo uamuzi utatoka kuonesha Mtuhumiwa Ling'wenya aliteswa basi Serikali itaendelea kuumbuka.

Kutokana na hali ilivyo na kwa dalili walizoziona kwenye kesi ndogo iliyokamilika kusikilizwa jana wameshauriana wawasilishe ombi la "Nolle" ili kesi isiendelee na watafute namna ingine ya kujisafisha.

Jana hiyo Mawakili wa Serikali walikuwa desparate sana wakiona kuwa wamepewa kesi ambayo imeanza kuwachafua katika jamii yetu. Walisikika wakimwomba Kiongozi wao Kidando aakutanishe kwa DPP kujadili hilo.
Source tafadhali
 
voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
869

Mbowe ni GAIDI, chagadema acheni kuweweseka.
 
Milindi

JF-Expert Member
Mar 3, 2009
1,422
2,000
Mawakili wa Serikali waliomba muda Zaidi kuandaa Maelezo yao ya maandishi kwani Mh. Jaji mwenyewe alikuwa tayari kutoa uamuzi wake kesho. Baadhi ya waliowasikia Wanasheria wa Serikali walivyotoka jana wanadai kuwa iwapo uamuzi utatoka kuonesha Mtuhumiwa Ling'wenya aliteswa basi Serikali itaendelea kuumbuka.

Kutokana na hali ilivyo na kwa dalili walizoziona kwenye kesi ndogo iliyokamilika kusikilizwa jana wameshauriana wawasilishe ombi la "Nolle" ili kesi isiendelee na watafute namna ingine ya kujisafisha.

Jana hiyo Mawakili wa Serikali walikuwa desparate sana wakiona kuwa wamepewa kesi ambayo imeanza kuwachafua katika jamii yetu. Walisikika wakimwomba Kiongozi wao Kidando aakutanishe kwa DPP kujadili hilo.
Maelezo ya MM(Mchome na Mhina) yamewamaliza kabisa,Aksante kwa kufikiri kama mimi.Wakati Mchome na Mhina wanatiririka machozi yalinitoka.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom