Tens of thousands of Portuguese seek jobs in Africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tens of thousands of Portuguese seek jobs in Africa

Discussion in 'International Forum' started by Neter, Jan 13, 2012.

 1. Neter

  Neter Senior Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35


  In the past year, at least 10,000 Portuguese people have moved to Angola. Portugal has been hit hard by Europe's economic crisis, with its economy continuing to shrink and unemployment still rising. Tens of thousands of Portuguese have been forced to leave their country to seek a brighter future, and an increasing number are applying for visas to former colonies such as Angola, Mozambique and Brazil.   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  angola walisaidia bajeti ya ureno
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,321
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Jamaa ni wachangaji mbegu wazuri sana. Ukienda Angola miaka kumi ijayo, mitaani utakutana na jamaa wamekuwa blended, hawajulikani Africa wala huko Portugal.
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hawa Wareno hadi wanatia AIBU maana sasa imekuwa too much.

  Msumbiji wakijikaza kidogo tu, na wao watawapita hawa Vibwengo.

  Jamaa ni Wazembe sana na ndiyo maana hata Zanzibar walitandikwa na Waarabu kama watoto wadogo.

  Wareno ni Nguvu ya soda nzuri sana. Wanaanza vizuri ila wakishafanikiwa, wanalemaa kabisa na kuanza kula raha.

  Sasa Brazil imeshaizidi kiuchumi UK. Kwa maneno mengine, badala ya kuzamia UK, heri uende Brazil na Portugal ndiyo kabisa.

  Sijui kama kuna haja watu kuanza kuzamia nchi za Ulaya maana Italy na Greece wako hoi.

  Halafu unakuta eti wanajisifu WHITE POWER..... no more WP.
   
 5. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tatizo lao jingine wazungu ni kuwa ni lazima watafute mchawi wao, sasa hivi Ujerumani wameishampata "mchawi", ni multicultural system na wamesema waziwazi kuwa imefeli!
  Mara ya mwisho waliposema kuwa multicultural imefeli (not literal), millions of Jews dissapeared!
   
 6. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,806
  Likes Received: 2,579
  Trophy Points: 280
  Duh! Africa is the next big thing.
   
 7. bona

  bona JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  kifupi nchi zote za ulaya ziko taabani ila si kitu kipya kwani mfumo wa kibepari ni lazima uje u collapse someday pale unapokosa wa kumnyonya kwa nchi za ulaya uk, france and german ndio wanawanyonya wenzao ktk eropean union ndo mana wao wako ok at least for now sasa kwa nchi ambazo hazikua na makolono hali inazidi kua mbaya kwani watakimbilia wapi?
   
 8. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Natamani niishi hadi nione siku Waingereza watakuja kutuomba tuwa-bail out na raia wao wawe wanazamia Arusha na Moshi kutafuta kazi hata za Tour Guide!
   
 9. i411

  i411 JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Hawa walio shindwa maisha huko ndo wanakuja kuwa wawekezaji hewa huku hawanaga hata utu manake wana upeo mdogo ndo maana wameshindwa kwao. Kwahiyo next time ukimuona mzungu eti yeye mwekezaji ujue huyo ameshindwa kwao wengi wao. Ndo maana hata hawatuendelezi maranyingi wanatumbua tuuu rasilimali zetu. Niwakati sasa tuweke sera kukubali wawekezaji wenye proven results tuuu siyo viela vyao vya urithi
   
 10. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Inabidi tuweke historia mbele yetu kabla hatujaanza kuwabeza hawa ma portuguese wanaokuja Africa sasa. Kumbukeni kuwa hata wachina walipokuwa wanazamia meli nakwenda America na Europe ile miaka ya 1940 hadi 1970s watu waliwabeza kuwa wanakimbia joto la ukomunisti wa ki -Mao. Sasa hivi China wana tawala uchumi wa dunia kutokana na teknolojia waliyo ukopi kwenye ncji za America na Ulaya kwenye miaka hiyo.

  Mababu za Wareno akina Batlomeo Diaz na akina Vasco Da Gama ndio mabaharia wa kwanza waliokuja kwenye uvumbuzi wa bara la Afrika yapata miaka 500 iliyopita na ndiyo maana waliijenga miji ya Maputo na Luanda kama vile kulikuwa kwao. Sishangai kuona wakija tena kwa style nyingine ya ukoloni ulioboreshwa. Tusiwabeze!
   
 11. Drifter

  Drifter JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 4, 2010
  Messages: 1,968
  Likes Received: 669
  Trophy Points: 280
  Watuombe? Kwa mwendo tunaokwenda nao wa viongozi wetu wenye bei rahisi hivi? Wameshaanza na wataendelea kununua nchi na rasilimali zake kwa bei ya kutupwa na baadaye watabakia kuuziana wao kwa wao na kupeana ajira muhimu sie tukiwa vibarua na watazamaji tu! Nasubiri kuona kama uraia nao hautakuwa ukiuzwa kimyakimya mara baada ya uraia wa nchi mbili kukubalika. Majuzi tu nimekutana na jamaa wa nchi fulani wakiwa na leseni mpya za udereva za Tanzania wakijaribu kuzitumia kuombea za kwao (zenye masharti magumu), wakaniambia walizipata baada ya kuhudhuria semina ya wiki moja DSM!
   
 12. Neter

  Neter Senior Member

  #12
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  I think the Angolan and Mozambique governments should tax them (european immigrants) heavily and make them also to pay in kind for their colonial sins.
   
 13. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  muingereza hata awe maskini vipi, hawezi kuomba msaada kutoka nchi yetote Afrika, lakini hawa wareno wanaendelea kumiminika katika nchi kama angola kwa kuwa wana fulusi nyingi kutokana na mafuta wanayoikuza humo. nasikia hata skyscrappers wanazojenga zinapita za afrika kusini
   
Loading...