Hivi humu ndani hakuna wadau wa TENNIS jamaani? Mbona sioni issues za TENNIS?
Mkuu BJ ni kweli huu mchezo tatizo lake ndio hilo, wakikutana wakongwe ujitaarishe kukaa masaa matatu,sometimes ina boa sana.Anyway tukijaliwa tutapeana habariMkuu Giro
Binafsi nawajua tu wanatennis maarufu ila kuangalia huu mchezo muda mwingine hadi nasinzia mana inaweza chukua masaa 3 bado game inaendelea..Huwa napenda tu kusikia nani kashinda basi!..
Nitakuwa nasoma hii thread utuhabarishe ukianzia na hiyo french open.