Tengua kitendawili hiki

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,142
3,217
Kwa vile viongozi wa dini wameanza kujenga mizizi ktk siasa zetu ,pia kuwepo kwa wafuasi wa dini kwa upande mmoja hadi mwingine kuonekana kuonewa kwa namna moja ama nyingine ama kuonekana hisia za upendeleo kwa ufanisi wa upande na kuonewa upande wa pili.

Nafikiri sasa ifike wakati tuambiane ukweli ya kwamba tatizo liko hapa na pale na si vinginevyo.Hii nafikiri tutapata ukweli kwa kuangalia mizizi ya chazo chake.

Hebu tegua kitendawili hiki nini tofauti kati ya vyuo vikuu hivi.

1.Tumain University
clck hapa
Tumaini University

2.Muislm University of Morogoro
click hapa
Muslim University of Morogoro

3.st August university of mwanza
click hapa
..:: St. Augustine University Of Tanzania ::..

Note: Kumbuka kuongelea mambo yanayohusu dini si udini ila udini ni kuya practice mambo ya kidini.Karibuni
 
Last edited:
Back
Top Bottom