Erick Digital

Member
Jan 14, 2021
8
16
Add a heading.png

Kama umekuwa ukiumiza kichwa, namna ambavyo utaweza kutengeneza website ya kisasa ya biashara yako, basi leo kupitia nakala hii ntakuonesha hatua kwa hatua jinsi ambavyo utaweza kutengeneza website kamili, nzuri, nadhifu na ya kisasa, kwa ajili ya biashara yako ndani ya muda mfupi sana.

Natumaini kabisa mpaka mwisho wa haya mafunzo utakuwa unauwezo wa kujitengenezea website yako mwenyewe.

Ngoja kwanza nikuandikie kwa ufupi hatua tutakazopitia kwenye hii nakala.

  1. Kununua Domain na Hosting
  2. Ku-install Wordpress
  3. Ku-install Plugins na Themes
  4. Ku-install Template
  5. Ku-upload taarifa zako
  6. Hitimisho

1. KUNUNUA DOMAIN NA HOSTING

  1. DOMAIN
  • Kwa ufupi domain ni address ya website yako, inamaana kuwa watu wakitumia hiyo address (anwani) wataweza kuipata website yako moja kwa moja mtandaoni.
  • Nadhani unazifahamu domain sema tu, inawezekana labda ulikuwa hujajua kuwa zinaitwa domain, mfano wa domain ni kama; facebook.com, itv.co.tz, company.com, n.k unaweza ukachagua jina lolote lile kwa ajili ya domain yako na watu watakupata hapo.

  1. HOSTING
  • Ni mfumo unaowezesha domain yako iweze kuonekana mtandaoni na pia kuhakikisha kuwa hiyo domain imeunganika na website utakayoitengeneza.
  • Bila hosting website yako haitaweza kuonekana mtandaoni na bila domain pia hautaweza kupatwa na mtu yeyote mtandaoni. Hivyo basi domain na hosting ndiyo mihimili ya website na vyote 2 vinategemeana.

  1. JINSI YA KUNUNUA DOMAIN NA HOSTING
  • Kuna namna nyingi za kununua domain na hosting, kuna njia rahisi, ngumu, za gharama, za bei chee… Lakini zote zinautofauti kwenye utendaji kazi hasa hosting.
  • Hosting nyingi sana zinazouzwa na makampuni zinatofautiana viwango na ubora. Ila leo ntatumia hosting ambayo mimi mwenyewe ninaikubali sana.
  • Kwasababu, inafanya kazi vizuri yani ina kasi na usalama, gharama yake ni nafuu mno, na pia rahisi kuitumia, kubwa zaidi utapewa Domain bure kwa mwaka mzima, inaitwa BLUEHOST

  1. Anza kwa kutembelea Bluehost hapa: Bluehost Hosting, kisha bonyeza GET STARTED kuanza usajili.

edmEKBSUwdwcfRA-SExfsH5ATp0zZ3v1A46cpxDnMITm9nTTzWxl0J54DqNB9MA_oUR2cmidsibhMAHsDqa_0hjWkqxZlGT9dm8tZrcQJrOlq4rIzYg-I9mM05YGrYTgCMukPAhW

  1. Chagua kifurushi unachotaka kulingana na uhitaji wako, kwa kubonyeza SELECT.
yvD_iOCFjtAfe2rmyygICsSOxEbjanqLtxPPzEkp7uyCwgz6uAOBRYr9LkNnY-QM0gYbTQ3Jayev1bvuIayiTT8imMaUBKasX5uKC0orfBpl36PNqgo3cKOQ36xqQOtEiZT3LChJ

  1. Andika jina unalohitaji liwe DOMAIN yako, hapo chini ya maneno “Create a new domain” ni Bure.

r9QFskd-XOxIgxO_GqZ9lo3Xq63nvPthSrJHncsjJBiZLJJAZV7_Yq15KWrj0NelzHPKtB5LPmZNBMPJGAPotyu7wmv2z_4sFihjSWrOudAZPLiOUV_wfoSSntdcu5HFZQYHyYx4

  1. Ukisha andika domain yako, chagua extension unayotamani domain yako iwe nayo. Mfano: .com, .org na kadhalika. Ila .co.tz, hazipo kwenye orodha hiyo, hivyo utahitajika kununua sehemu nyingine iyo alafu utaiunganisha na BLUEHOST.
  • Nitatoa nakala nyingine ya kuwasaidia watu, namna ya kuunganisha DOMAIN ya .co.tz, au .or.tz , kwenye Hosting, kwa sasa unaweza kuchukua ya .com bure tu hapa hapa Bluehost. Kisha Bonyeza NEXT

kwcAmk3ucjXOc2tIgmcoZtf6iT07_rZo2me8fGjW5D7w564hHVZL_0TjnKZcza8XEljrMByloyxD-d7PHplm1RQGXudC4_aZpfzKrO2dAc0YBrSiVXAhfHK9iJK3VvPAJnT1-4Lk

  1. Katika hatua hii utajaza taarifa zako kama utakavyoulizwa.
xubJXk2NkeEjFsLSdQdlGr41fQP-dpO0dHx1z2hjtqYrks9jqymHm3lQ3890r-cRqYv4M2HpwJClIGzj3x1vwHEDBga9cValCvg_RuSXhYkhZCcNupP6Xqt7NJyzKibD5CtnXfix

  1. Hakikisha kifurushi chako, pia angalia kama kuna kitu unahitaji kuongeza au kupunguza. Kisha jaza Taarifa za Malipo, kutumia VISA au MASTERCARD.
  • Unaweza kutumia VODACOM MASTERCARD au AIRTEL MASTERCARD, kama utakuwa huna kadi ya benki ya Visa au Mastercard
Zx9R0yHHS_iIpqkMO07rxVZNtZ5ye3jxwq_-TdC8f5NDDIjuWc8aE6rLDoct5ZDdqZxuciI4sGbONPHdWM33MWGtabQFFqEAAwlnL8SCUY_Xq49WQFGvucl_DUHVDC1DCqs7y15E

  1. Ukishamaliza Kukamilisha Malipo ya Kifurushi Chako, Utaona Ukurasa kama huo chini, kisha utabonyeza CREATE YOUR PASSWORD ili kukamilisha usajili na kuweka usalama kwenye Account yako ya Bluehost.

mvXOY8r3Qy3GlaZVlbuWY0HCPnsD4lJy-EVsbHAHzQFaSMQ0uKLV0F6_WgLzt_-groTpu25lQCgcxZzLXwQ88WzcfeAZPE_i-UMZ_CT0o1mRyY6gAhtCCGND4dWzb2LrgC2Z4nJW

2. KU-INSTALL WORDPRESS.

  • Fuata hatua zifuatazo ili kuweka Program ya Wordpress.

  1. Nenda Fungua Account yako ya BLUEHOST.
  2. Kisha Bonyeza MY SITES
  3. Alafu bonyeza CREATE SITE ili ku-install Wordpress yako.
KFqX71gJgy5iPhmuPSauL6cvBSemYBN6njciylybA1WpJKyt71gAvSXXCYpLwrbviVT8KgELCX4MVf70hGnpFcHTpYdS8s1Tde7y5q2y4h50SZuLaitEw4jAJkrvqnFZPw-Jr69a

3. KU-INSTALL PLUGINS NA THEME.

  • Plugins ni application ndogo ndogo zinazosaidia kuboresha shughuli unazozifanya kwenye website yako.
  • Theme ni application inayosaidia kuweka Muonekano wa ujumla wa website yako.
  • So, Tuta-install plugins Mbili (2) na Theme (1). Ambazo zitafanya Muonekano wa website yetu uwe mzuri na wa kuvutia.

  1. Ku-install Theme:
  • Kwenye Dashboard yako ya wordpress bonyeza sehemu iliyoandikwa “Appearance”
  • Kisha Bonyeza “Add New”

c0JNrShfP01hbw2Mui6Yom51kMoCnDiV7NBeOyvV4e90DPcccnUgweM7MVSRrH0t7hYhZlLA9hgdh1r_ugNqw1OKO2GGu81giFot6iEKAN-qWMZst6j4jZpT4l5dbuunEG1maYgw

  • Nenda Sehemu iliyoandikwa “ Search Themes…” na uandike “ Astra “ .. Utaona zimetokea “Themes” kadhaa kwa Chini, Ila Bonyeza “ Install” kwenye Iyo ambayo imeandikwa “ Astra” na siyo “ Astral “.
  • Subiri mpaka litokee neno limeandikwa “ Activate” na kisha Bonyeza tena hapo hapo na utakuwa umemaliza kuistall theme.

5FgPFyYdLi42E6woST20LFhdcyb3BWngJkIarJKOaVdMln1SnClpQs656v9s9jrSs7abZ5TvHs3uJk72NEgoGo09KVm_jiE3cqn2Q12zbpvH7IjQM9SQWJnep7CgB-eXdpByjRzG

  1. Ku-install Plugins.
  • Utaratibu wake ni kama tu ule ule unapo install theme, ila hapa tuta-install zaidi ya kitu kimoja, yani Plugins.
  • Tuta-install plugins Mbili tu.
  • Tutanza hivii… Kwenye Dashboard yako ya wordpress bonyeza sehemu iliyoandikwa “Plugins”
  • Kisha Bonyeza “Add New”

MN9M67aa8fZMWpIygdDXKe0EIV9vaQ0KejRb_yoChRMnCxtWq2zqxKZLNvRIOcLSWul5KfI06DKB-fr1j-IRWvqyHR83qMpZ6H0P9FOFxbbiad1aKIk0qCA1qTIget7Pl4I1UtRv

  • Nenda Sehemu iliyoandikwa “ Search Plugins…” na uandike “ Elementor“ .. Utaona zimetokea “Plugins” kadhaa kwa Chini, Ila Bonyeza “ Install” kwenye Iyo ambayo imeandikwa “ Elementor ” tu.
  • Subiri mpaka litokee neno limeandikwa “ Activate” na kisha Bonyeza tena hapo hapo na utakuwa umemaliza kuistall Plugin.

QwB7gRhc5Tf6QkAKG5yXwy_sQfM9-kTU7pM3l8jo1A8pYBtMb9_FMTwG02h3mmZDwEfciiZjW9wsdw1KSoXPUb0YHhy1FbrVoBe25dW-SWScX1B0wn63PRGardxdrD3PGOcKXsWB

  • Nilikuambia kuwa tunatakiwa ku-install Plugins Mbili sasa Utarudia tena Kwa Kuanza kwenda kwenye Plugins => Add New => Search Plugins.. Kama kawaida na safari hii utaandika “ Starter Templates”. Kisha Chagua iyo ambayo imeandikwa “ Starter Templates” tu. Mara nyingi inakuwaga ya kwanza kabisa.
  • Tutakuwa Tumemaliza Kazi ya Ku-install plugins zetu mbili.

42dylMNpB7eAdBz_jNgwc6d6iNxWcJhcFSzeKq2RaQoMEaTtwL0rgVJPYoSstWQloRQVovewf2nDl9ty5DTwihr8sxiEJKY-h2b8tDh1XEp_eH0K2KAAhrf4OWTOZ8Wi2u8L9KOP

4. KU-INSTALL TEMPLATE

  • Template in kama Muundo ambao utakusaidia kufanya utengenezaji wako wa Website uwe mwepesi zaidi.
  • Naweza nkasema ni kama Fuvu ambapo kazi yako itakuwa ni kuweka nyama tu. Najua utaelewa kabisa kadri tunavyoendelea… Haya twenzetu….!

  1. Bonyeza “ Appearance “ kisha nenda kwenye “Astra” na ubonyeza “ Theme Details “

MRZ2uhJluhSgo3SijGB4qRr06TZJrisWyJCh75D5tmaqbt5vJc58V_oh3E1rVU-GdA119XmlknIl1JXgzUPK2UGL4cmOQn1NmyQyu3GvOBRaqoBH-U1qQk06eEoBCvYgTcVLzCuF

  1. Bonyeza “ Starter Templates”

ik6PZGM6a7jgp9Fy4DiKoOuFErzRFjCsHOv2Md-nSrSAQ5ahBtizPeGwCcbR6iyF_f9rsmALkYSSZgyMbdN2NloM6SzWRTCDQpcCBZYCbSv5uUwMPoFoHGGjZwmOjP7Zs-PVkyol

  1. Chagua “ Elementor”

zjz5OOm6o1DJB1T7JuVLTNCjibflRZ32TYHXDAyZn0454m-4pEXoAYxGxrZx6HkBVkjz7iVguipDZJc46QKNMQQwNb8OhCbKc5zSx3tamrA_a0c2ps8Luqtfdl0vlVg_lfhPfsPx

  1. Utatokea Ukurasa ambao utakuwa na “ Templates “ nyingi tu..Ambazo hizo ni Websites zilizokuwa zimeshatengenezwa kamili, na wewe unachokifanya ni kupakua na kuweka, kisha kuzibadili vile utakavyo kuanzia.. Rangi, Mwandiko, Picha, n.k.
  • Mimi ntachagua moja wapo na ntakuonesha jinsi ya kufanya ili kubadili vitu mbali mbali.

6c8QyGiaqjma526gJmWDKWG2-7kGWp-LF46KIzdEV6qbkMPPkREXmLAcVaQhCZSRiBO0LPn7brX98wlW2XwFlwPxOEkOAic0QyMnzpZheAqx-BEFsxQqPuqXCZnsJBv5xR8c_MAW

  1. Angalia na uchague ili unayoona itapendeza kwa ajili ya website yako na kisha Bonyeza ili kuiangalia zaidi muundo wake.
  • Ukiibonyeza unaweza ukaifungua kabisa kama Website kwa kubonyeza hapo palipoandikwa “ Preview "LearnDash Academy" Site “ na itafunguka nawe unaweza ukaiangalia kama itakufaa.
  • ONYO: Hizo templates zilizowekwa nembo ya bluu zenye neno “AGENCY” utazitumia endapo tu umelipia kifurushi chao, ila zilizobaki zote ni BURE!!.
  • Mimi ntachagua hii kwa kubonyeza “ Import Complete Site “

prKE1ixa4PzJG3DWelF2rSIXDcx-hqFR2v5pzYlKRdonpnADHMrmIZ_dDsCyJ_BjZjGcdLiVbQo3FvxUs82BTbMyr9rKaeL3cVREykzjEaA_ymh0Ik4S7w8sKgwDyXnyoi1qNNqL

  1. Bonyeza “Import”

aoNQ-AN2moM5eJabG4o2PPxnJOo31gbRRQ4lYUul-ZoCpuP9DKIkO2E1twD4jCJ1IdmTP38qH6Zz33bBdhJkJEWJOzlBfkDRaLqovros_g17yUI2QoHa1SQ1Ok1No6o4_Mozn5hz

  1. Ikikamilika Bonyeza “View Site” kuhakikisha kama Template uliochagua kujionea kama hatua ya ku-install template imefanikiwa na kama imefanikiwa Basi utaona “Domain” yako inaonesha website ulioichagua kwenye Templates.
  • Sasa tunaingia kwenye hatua tamu kabisa, nayo ni hatua ya kubadili muundo vile unavyotaka kutokana na wazo lako la website unayohitaji.
  • Ukimaliza kuhakiki rudi kwenye Dashboard yako ya wordpress.

g4LYJ_XOwtXBSbahgs3IAK9DfULkloRk5B1b9grUZsqmQ3Ppz8abjDuiChcLtcgyCQS5MW9J_Qk7AabGSItsVdxb7mJHWsYx7FB0_LfdBk97qntSTjhrkI3hgtSwgLZTNOAWsmNy

MUHIMU ⚠
- Kimebaki kipengele kimoja cha namna ya KU-UPLOAD taarifa zako kwenye website, ila sasa Jamii Forum hairuhusu picha zaidi ya 20.
Kwahiyo nimeiweka nakala yote kamili kwenye DOCUMENT, unaweza DOWNLOAD, na ukapata Nakala kamili yenye vipengele vyote BUREE.

- DOWNLOAD HAPA:
NAKALA YA KUTENGENEZA WEBSITE 2021.

Kama unahisi umeshaelewa vya kutosha unaweza ukaaza tu hapa.

HOSTING LINK:
BLUEHOST WORDPRESS HOSTING
 
Such a great piece of information mkuu😂!

Nilikuwa natamani kufanya hii kazi ila coding from scratch ndio kitu sikuwa nataka. Now umenipa mwangaza. Now nmeona jinsi wana wanaouza Website laki 4 wanapata hela kiasi gani.
 
View attachment 1682506

MUHIMU
- Kimebaki kipengele kimoja cha namna ya KU-UPLOAD taarifa zako kwenye website, ila sasa Jamii Forum hairuhusu picha zaidi ya 20.
Kwahiyo nimeiweka nakala yote kamili kwenye DOCUMENT, unaweza DOWNLOAD, na ukapata Nakala kamili yenye vipengele vyote BUREE.

- DOWNLOAD HAPA:
NAKALA YA KUTENGENEZA WEBSITE 2021.

Kama unahisi umeshaelewa vya kutosha unaweza ukaaza tu hapa.

HOSTING LINK:
BLUEHOST WORDPRESS HOSTING
Kiongozi shukrani sana, naomba usisite kutupa maarifa zaidi.
Nina swali kidogo, huwa najaribu kujisomea online lakini bado inakuwa changamoto.
Swali:Je baada ya kuwa na website ni njia zipi za kufanya ili itembelewe zaidi?Kama unaweza kutupitisha katika mambo ya SEO kwa namna yako itakuwa safi.
 
View attachment 1683928
Kama umekuwa ukiumiza kichwa, namna ambavyo utaweza kutengeneza website ya kisasa ya biashara yako, basi leo kupitia nakala hii ntakuonesha hatua kwa hatua jinsi ambavyo utaweza kutengeneza website kamili, nzuri, nadhifu na ya kisasa, kwa ajili ya biashara yako ndani ya muda mfupi sana.

Natumaini kabisa mpaka mwisho wa haya mafunzo utakuwa unauwezo wa kujitengenezea website yako mwenyewe.

Ngoja kwanza nikuandikie kwa ufupi hatua tutakazopitia kwenye hii nakala.

  1. Kununua Domain na Hosting
  2. Ku-install Wordpress
  3. Ku-install Plugins na Themes
  4. Ku-install Template
  5. Ku-upload taarifa zako
  6. Hitimisho
1. KUNUNUA DOMAIN NA HOSTING
  1. DOMAIN
  • Kwa ufupi domain ni address ya website yako, inamaana kuwa watu wakitumia hiyo address (anwani) wataweza kuipata website yako moja kwa moja mtandaoni.
  • Nadhani unazifahamu domain sema tu, inawezekana labda ulikuwa hujajua kuwa zinaitwa domain, mfano wa domain ni kama; facebook.com, itv.co.tz, company.com, n.k unaweza ukachagua jina lolote lile kwa ajili ya domain yako na watu watakupata hapo.
  1. HOSTING
  • Ni mfumo unaowezesha domain yako iweze kuonekana mtandaoni na pia kuhakikisha kuwa hiyo domain imeunganika na website utakayoitengeneza.
  • Bila hosting website yako haitaweza kuonekana mtandaoni na bila domain pia hautaweza kupatwa na mtu yeyote mtandaoni. Hivyo basi domain na hosting ndiyo mihimili ya website na vyote 2 vinategemeana.
  1. JINSI YA KUNUNUA DOMAIN NA HOSTING
  • Kuna namna nyingi za kununua domain na hosting, kuna njia rahisi, ngumu, za gharama, za bei chee… Lakini zote zinautofauti kwenye utendaji kazi hasa hosting.
  • Hosting nyingi sana zinazouzwa na makampuni zinatofautiana viwango na ubora. Ila leo ntatumia hosting ambayo mimi mwenyewe ninaikubali sana.
  • Kwasababu, inafanya kazi vizuri yani ina kasi na usalama, gharama yake ni nafuu mno, na pia rahisi kuitumia, kubwa zaidi utapewa Domain bure kwa mwaka mzima, inaitwa BLUEHOST
  1. Anza kwa kutembelea Bluehost hapa: Bluehost Hosting, kisha bonyeza GET STARTED kuanza usajili.

  2. Chagua kifurushi unachotaka kulingana na uhitaji wako, kwa kubonyeza SELECT.

yvD_iOCFjtAfe2rmyygICsSOxEbjanqLtxPPzEkp7uyCwgz6uAOBRYr9LkNnY-QM0gYbTQ3Jayev1bvuIayiTT8imMaUBKasX5uKC0orfBpl36PNqgo3cKOQ36xqQOtEiZT3LChJ

  1. Andika jina unalohitaji liwe DOMAIN yako, hapo chini ya maneno “Create a new domain” ni Bure.

r9QFskd-XOxIgxO_GqZ9lo3Xq63nvPthSrJHncsjJBiZLJJAZV7_Yq15KWrj0NelzHPKtB5LPmZNBMPJGAPotyu7wmv2z_4sFihjSWrOudAZPLiOUV_wfoSSntdcu5HFZQYHyYx4

  1. Ukisha andika domain yako, chagua extension unayotamani domain yako iwe nayo. Mfano: .com, .org na kadhalika. Ila .co.tz, hazipo kwenye orodha hiyo, hivyo utahitajika kununua sehemu nyingine iyo alafu utaiunganisha na BLUEHOST.
  • Nitatoa nakala nyingine ya kuwasaidia watu, namna ya kuunganisha DOMAIN ya .co.tz, au .or.tz , kwenye Hosting, kwa sasa unaweza kuchukua ya .com bure tu hapa hapa Bluehost. Kisha Bonyeza NEXT
  1. Katika hatua hii utajaza taarifa zako kama utakavyoulizwa.
xubJXk2NkeEjFsLSdQdlGr41fQP-dpO0dHx1z2hjtqYrks9jqymHm3lQ3890r-cRqYv4M2HpwJClIGzj3x1vwHEDBga9cValCvg_RuSXhYkhZCcNupP6Xqt7NJyzKibD5CtnXfix

  1. Hakikisha kifurushi chako, pia angalia kama kuna kitu unahitaji kuongeza au kupunguza. Kisha jaza Taarifa za Malipo, kutumia VISA au MASTERCARD.
  • Unaweza kutumia VODACOM MASTERCARD au AIRTEL MASTERCARD, kama utakuwa huna kadi ya benki ya Visa au Mastercard
Zx9R0yHHS_iIpqkMO07rxVZNtZ5ye3jxwq_-TdC8f5NDDIjuWc8aE6rLDoct5ZDdqZxuciI4sGbONPHdWM33MWGtabQFFqEAAwlnL8SCUY_Xq49WQFGvucl_DUHVDC1DCqs7y15E

  1. Ukishamaliza Kukamilisha Malipo ya Kifurushi Chako, Utaona Ukurasa kama huo chini, kisha utabonyeza CREATE YOUR PASSWORD ili kukamilisha usajili na kuweka usalama kwenye Account yako ya Bluehost.

mvXOY8r3Qy3GlaZVlbuWY0HCPnsD4lJy-EVsbHAHzQFaSMQ0uKLV0F6_WgLzt_-groTpu25lQCgcxZzLXwQ88WzcfeAZPE_i-UMZ_CT0o1mRyY6gAhtCCGND4dWzb2LrgC2Z4nJW

2. KU-INSTALL WORDPRESS.

  • Fuata hatua zifuatazo ili kuweka Program ya Wordpress.
  1. Nenda Fungua Account yako ya BLUEHOST.
  2. Kisha Bonyeza MY SITES
  3. Alafu bonyeza CREATE SITE ili ku-install Wordpress yako.

KFqX71gJgy5iPhmuPSauL6cvBSemYBN6njciylybA1WpJKyt71gAvSXXCYpLwrbviVT8KgELCX4MVf70hGnpFcHTpYdS8s1Tde7y5q2y4h50SZuLaitEw4jAJkrvqnFZPw-Jr69a

3. KU-INSTALL PLUGINS NA THEME.

  • Plugins ni application ndogo ndogo zinazosaidia kuboresha shughuli unazozifanya kwenye website yako.
  • Theme ni application inayosaidia kuweka Muonekano wa ujumla wa website yako.
  • So, Tuta-install plugins Mbili (2) na Theme (1). Ambazo zitafanya Muonekano wa website yetu uwe mzuri na wa kuvutia.
  1. Ku-install Theme:
  • Kwenye Dashboard yako ya wordpress bonyeza sehemu iliyoandikwa “Appearance”
  • Kisha Bonyeza “Add New”
c0JNrShfP01hbw2Mui6Yom51kMoCnDiV7NBeOyvV4e90DPcccnUgweM7MVSRrH0t7hYhZlLA9hgdh1r_ugNqw1OKO2GGu81giFot6iEKAN-qWMZst6j4jZpT4l5dbuunEG1maYgw

  • Nenda Sehemu iliyoandikwa “ Search Themes…” na uandike “ Astra “ .. Utaona zimetokea “Themes” kadhaa kwa Chini, Ila Bonyeza “ Install” kwenye Iyo ambayo imeandikwa “ Astra” na siyo “ Astral “.
  • Subiri mpaka litokee neno limeandikwa “ Activate” na kisha Bonyeza tena hapo hapo na utakuwa umemaliza kuistall theme.

5FgPFyYdLi42E6woST20LFhdcyb3BWngJkIarJKOaVdMln1SnClpQs656v9s9jrSs7abZ5TvHs3uJk72NEgoGo09KVm_jiE3cqn2Q12zbpvH7IjQM9SQWJnep7CgB-eXdpByjRzG

  1. Ku-install Plugins.
  • Utaratibu wake ni kama tu ule ule unapo install theme, ila hapa tuta-install zaidi ya kitu kimoja, yani Plugins.
  • Tuta-install plugins Mbili tu.
  • Tutanza hivii… Kwenye Dashboard yako ya wordpress bonyeza sehemu iliyoandikwa “Plugins”
  • Kisha Bonyeza “Add New”

MN9M67aa8fZMWpIygdDXKe0EIV9vaQ0KejRb_yoChRMnCxtWq2zqxKZLNvRIOcLSWul5KfI06DKB-fr1j-IRWvqyHR83qMpZ6H0P9FOFxbbiad1aKIk0qCA1qTIget7Pl4I1UtRv

  • Nenda Sehemu iliyoandikwa “ Search Plugins…” na uandike “ Elementor“ .. Utaona zimetokea “Plugins” kadhaa kwa Chini, Ila Bonyeza “ Install” kwenye Iyo ambayo imeandikwa “ Elementor ” tu.
  • Subiri mpaka litokee neno limeandikwa “ Activate” na kisha Bonyeza tena hapo hapo na utakuwa umemaliza kuistall Plugin.
QwB7gRhc5Tf6QkAKG5yXwy_sQfM9-kTU7pM3l8jo1A8pYBtMb9_FMTwG02h3mmZDwEfciiZjW9wsdw1KSoXPUb0YHhy1FbrVoBe25dW-SWScX1B0wn63PRGardxdrD3PGOcKXsWB

  • Nilikuambia kuwa tunatakiwa ku-install Plugins Mbili sasa Utarudia tena Kwa Kuanza kwenda kwenye Plugins => Add New => Search Plugins.. Kama kawaida na safari hii utaandika “ Starter Templates”. Kisha Chagua iyo ambayo imeandikwa “ Starter Templates” tu. Mara nyingi inakuwaga ya kwanza kabisa.
  • Tutakuwa Tumemaliza Kazi ya Ku-install plugins zetu mbili.
42dylMNpB7eAdBz_jNgwc6d6iNxWcJhcFSzeKq2RaQoMEaTtwL0rgVJPYoSstWQloRQVovewf2nDl9ty5DTwihr8sxiEJKY-h2b8tDh1XEp_eH0K2KAAhrf4OWTOZ8Wi2u8L9KOP

4. KU-INSTALL TEMPLATE

  • Template in kama Muundo ambao utakusaidia kufanya utengenezaji wako wa Website uwe mwepesi zaidi.
  • Naweza nkasema ni kama Fuvu ambapo kazi yako itakuwa ni kuweka nyama tu. Najua utaelewa kabisa kadri tunavyoendelea… Haya twenzetu….!
  1. Bonyeza “ Appearance “ kisha nenda kwenye “Astra” na ubonyeza “ Theme Details “

MRZ2uhJluhSgo3SijGB4qRr06TZJrisWyJCh75D5tmaqbt5vJc58V_oh3E1rVU-GdA119XmlknIl1JXgzUPK2UGL4cmOQn1NmyQyu3GvOBRaqoBH-U1qQk06eEoBCvYgTcVLzCuF

  1. Bonyeza “ Starter Templates”
ik6PZGM6a7jgp9Fy4DiKoOuFErzRFjCsHOv2Md-nSrSAQ5ahBtizPeGwCcbR6iyF_f9rsmALkYSSZgyMbdN2NloM6SzWRTCDQpcCBZYCbSv5uUwMPoFoHGGjZwmOjP7Zs-PVkyol

  1. Chagua “ Elementor”

zjz5OOm6o1DJB1T7JuVLTNCjibflRZ32TYHXDAyZn0454m-4pEXoAYxGxrZx6HkBVkjz7iVguipDZJc46QKNMQQwNb8OhCbKc5zSx3tamrA_a0c2ps8Luqtfdl0vlVg_lfhPfsPx

  1. Utatokea Ukurasa ambao utakuwa na “ Templates “ nyingi tu..Ambazo hizo ni Websites zilizokuwa zimeshatengenezwa kamili, na wewe unachokifanya ni kupakua na kuweka, kisha kuzibadili vile utakavyo kuanzia.. Rangi, Mwandiko, Picha, n.k.
  • Mimi ntachagua moja wapo na ntakuonesha jinsi ya kufanya ili kubadili vitu mbali mbali.

6c8QyGiaqjma526gJmWDKWG2-7kGWp-LF46KIzdEV6qbkMPPkREXmLAcVaQhCZSRiBO0LPn7brX98wlW2XwFlwPxOEkOAic0QyMnzpZheAqx-BEFsxQqPuqXCZnsJBv5xR8c_MAW

  1. Angalia na uchague ili unayoona itapendeza kwa ajili ya website yako na kisha Bonyeza ili kuiangalia zaidi muundo wake.
  • Ukiibonyeza unaweza ukaifungua kabisa kama Website kwa kubonyeza hapo palipoandikwa “ Preview "LearnDash Academy" Site “ na itafunguka nawe unaweza ukaiangalia kama itakufaa.
  • ONYO: Hizo templates zilizowekwa nembo ya bluu zenye neno “AGENCY” utazitumia endapo tu umelipia kifurushi chao, ila zilizobaki zote ni BURE!!.
  • Mimi ntachagua hii kwa kubonyeza “ Import Complete Site “

prKE1ixa4PzJG3DWelF2rSIXDcx-hqFR2v5pzYlKRdonpnADHMrmIZ_dDsCyJ_BjZjGcdLiVbQo3FvxUs82BTbMyr9rKaeL3cVREykzjEaA_ymh0Ik4S7w8sKgwDyXnyoi1qNNqL

  1. Bonyeza “Import”

aoNQ-AN2moM5eJabG4o2PPxnJOo31gbRRQ4lYUul-ZoCpuP9DKIkO2E1twD4jCJ1IdmTP38qH6Zz33bBdhJkJEWJOzlBfkDRaLqovros_g17yUI2QoHa1SQ1Ok1No6o4_Mozn5hz

  1. Ikikamilika Bonyeza “View Site” kuhakikisha kama Template uliochagua kujionea kama hatua ya ku-install template imefanikiwa na kama imefanikiwa Basi utaona “Domain” yako inaonesha website ulioichagua kwenye Templates.
  • Sasa tunaingia kwenye hatua tamu kabisa, nayo ni hatua ya kubadili muundo vile unavyotaka kutokana na wazo lako la website unayohitaji.
  • Ukimaliza kuhakiki rudi kwenye Dashboard yako ya wordpress.

g4LYJ_XOwtXBSbahgs3IAK9DfULkloRk5B1b9grUZsqmQ3Ppz8abjDuiChcLtcgyCQS5MW9J_Qk7AabGSItsVdxb7mJHWsYx7FB0_LfdBk97qntSTjhrkI3hgtSwgLZTNOAWsmNy

MUHIMU ⚠
-
Kimebaki kipengele kimoja cha namna ya KU-UPLOAD taarifa zako kwenye website, ila sasa Jamii Forum hairuhusu picha zaidi ya 20.
Kwahiyo nimeiweka nakala yote kamili kwenye DOCUMENT, unaweza DOWNLOAD, na ukapata Nakala kamili yenye vipengele vyote BUREE.

- DOWNLOAD HAPA: NAKALA YA KUTENGENEZA WEBSITE 2021.

Kama unahisi umeshaelewa vya kutosha unaweza ukaaza tu hapa.

HOSTING LINK:
BLUEHOST WORDPRESS HOSTING
Kifurushi Cha kawaida (Cha Bei ndogo kabisa) kwa Mwaka Shilingi ngapi mkuu?
 
Kiongozi shukrani sana, naomba usisite kutupa maarifa zaidi.
Nina swali kidogo, huwa najaribu kujisomea online lakini bado inakuwa changamoto.
Swali:Je baada ya kuwa na website ni njia zipi za kufanya ili itembelewe zaidi?Kama unaweza kutupitisha katika mambo ya SEO kwa namna yako itakuwa safi.

Usijali, Ntaandaa somo rahisi kabisa la kufanya website yako itembelewe na watu wengi mtandaoni.
 
Back
Top Bottom