Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 988
Habari zenu wanajamvi!.
Jamani mwenzenu nataka nianze kumhubiri Mungu hata kwenye mtandao, kwa kufanya hivyo kwanza naanzisha website/tovuti yangu. Kama kawaida Mchungaji nimekuja hapa kupata msaada wenu wanajamvi, Lengo langu ni mawazo yenu ili kufanikisha jambo hili mhimu kwangu na jamii kwa ujumla. Ikiwa kweli mtanisaidia basi lazima chini niandike majina ya wanajamvi watakaoshiriki kama sehemu ya kuthamini michango yenu ambayo ni ya kimawazo zaidi. Mnaonaje tovuti moja itengenezwe kutokana na mawazo ya watu zaidi ya mtu mmoja? kwa hakika itakuwa bora.
Okay, Sijuwi lolote kuhusu code, najuwa kidogo kuhusu artisteer, kwahiyo nitatumia artisteer kutengeneza template kwanza itakwayokuwa wordpress based cms.
Mbali na kuwahubiria neno la mwisho yaani upendo humo katika web hiyo, pia mimi nina studio ya kurekodia mziki wa injili kwahiyo nimeona niitafutie ukurasa pia katika web ili kusaidia waimbaji wanaohitaji kurekodi single za album kwa bei nafuu.
Tutaenda kwa hatua. Hatua ya kwanza naomba ushauri wenu kuhusu Column, mpaka sasa ipo katika single column, naomba ushauri wako kwa uzoefu au utaalamu wako ungependa ziwe ngapi na je ni Widgets,pages, au blocks zipi unashauri ziwekwe kwenye hizo column utakazoshauri.
Tuanze na hilo. COLUMN
Natanguliza shukrani zangu.