N nickson1987 Senior Member Aug 16, 2011 191 24 Jan 2, 2014 #1 Wajameni tenga la nyanya sokoni shs ngapi kwa soko la dar
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,510 28,416 Jan 2, 2014 #4 Jidu said: Inaweza kuwa kati ya elfu 24-30 Click to expand... Mkuu tenga moja ni kama kilo ngapi???
Jidu JF-Expert Member Mar 9, 2011 1,232 754 Jan 2, 2014 #5 Mkuu mi namaanisha yale makasha ya siku hizi kwa bei ya tenga siwezi fahamu .na wala siwezi jua kuna kilo ngapi...sie tunapimiwa kwa sado.
Mkuu mi namaanisha yale makasha ya siku hizi kwa bei ya tenga siwezi fahamu .na wala siwezi jua kuna kilo ngapi...sie tunapimiwa kwa sado.
baraka607 JF-Expert Member Aug 2, 2010 844 165 Jan 3, 2014 #6 nickson1987 said: Wajameni tenga la nyanya sokoni shs ngapi kwa soko la dar Click to expand... Tenga ni elfu 50 na box la mbao lile ni 30 - 35. Juzi kati nilivopita sokon.
nickson1987 said: Wajameni tenga la nyanya sokoni shs ngapi kwa soko la dar Click to expand... Tenga ni elfu 50 na box la mbao lile ni 30 - 35. Juzi kati nilivopita sokon.