ikizu
JF-Expert Member
- Oct 26, 2011
- 431
- 56
jamani huyu rais wa tff tangu achaguliwe kuwa rais wa tff hajawahi hata siku moja kutembelea mikoa yake hata kujua matatizo yanayoikabili ili kukuza soka la tanzania mikoa ambayo hajawahi kufika ni Singida, Tabora, Shinyanga, Lindi, Mtwara, iringa, Mbeya, Kagera, Mara, Manyara, Ruvuma, na Kigoma jamani huyu jamaa anafaa kuwa kiongozi wa mpira?