Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,432
- 7,055
Shirikisho la Soka Afrika(CAF) limemteua Mtanzania, Leodegar Tenga kuwa Makamu Rais wa Kamati ya Ufundi na Maendeleo ya Shirikisho hilo.
Tenga aliwahi kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) na nafasi yake kuchukuliwa na Jamal Malinzi baada ya muda wake kukamilika na kuanza kuwania kupata nafasi mbalimballi kwenye shirikisho la Soka Afrika.