VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini,John Tendwa amekaririwa akisema kuwa haiwezekani kufuta chama chochote cha siasa nchini hata kama itabainika kuwa chama kinahusika na vurugu za Arusha. Amesema kuwa kufuta chama chochote kuna athari kubwa sana.Tendwa anatafsirika kama kumjibu Mbunge Moses Machali-NCCR Mageuzi aliyetoa pendekezo la kufuta chama kitakachobainika kuhusika na milipuko ya bomu jijini Arusha akivitaja vyama vya CCM na CHADEMA. Mzee Tupatupa (kwasasa Arusha)