Tendwa: Siwezi kufuta chama chochote!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini,John Tendwa amekaririwa akisema kuwa haiwezekani kufuta chama chochote cha siasa nchini hata kama itabainika kuwa chama kinahusika na vurugu za Arusha. Amesema kuwa kufuta chama chochote kuna athari kubwa sana.Tendwa anatafsirika kama kumjibu Mbunge Moses Machali-NCCR Mageuzi aliyetoa pendekezo la kufuta chama kitakachobainika kuhusika na milipuko ya bomu jijini Arusha akivitaja vyama vya CCM na CHADEMA. Mzee Tupatupa (kwasasa Arusha)
 
Achana na huyu zuzu kwanza, sio kufuta chama hawezezi kutoa mawazo yoyote ya busara katika purukushani hizi, he is no better than a dead man.
 
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini,John Tendwa amekaririwa akisema kuwa haiwezekani kufuta chama chochote cha siasa nchini hata kama itabainika kuwa chama kinahusika na vurugu za Arusha. Amesema kuwa kufuta chama chochote kuna athari kubwa sana.Tendwa anatafsirika kama kumjibu Mbunge Moses Machali-NCCR Mageuzi aliyetoa pendekezo la kufuta chama kitakachobainika kuhusika na milipuko ya bomu jijini Arusha akivitaja vyama vya CCM na CHADEMA. Mzee Tupatupa (kwasasa Arusha)
Anajua akikubali CCM kitafutwa
 
Loh! mtatutia vichaa, kuna watu mngekuwa mkiwa na habari zao mnakaa nazo huko huko, vichwa vimejaa mambo ya maana, huyu jamaa kichwani ni "member tupu". kazi kuuza mwanya tu. wala sijui anakazi gani hapo alipo
 
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini,John Tendwa amekaririwa akisema kuwa haiwezekani kufuta chama chochote cha siasa nchini hata kama itabainika kuwa chama kinahusika na vurugu za Arusha. Amesema kuwa kufuta chama chochote kuna athari kubwa sana.Tendwa anatafsirika kama kumjibu Mbunge Moses Machali-NCCR Mageuzi aliyetoa pendekezo la kufuta chama kitakachobainika kuhusika na milipuko ya bomu jijini Arusha akivitaja vyama vya CCM na CHADEMA. Mzee Tupatupa (kwasasa Arusha)

Kwa kuwa Main Characters ni CCM na CDM anajifanya anamsimamo kama Edward Hosea alipoinyooshea ofisi ya DPP kuwa ndiyo inayodhoofisha kesi za mafisadi papa. Lakini kama ugomvi huu ungekuwa kati ya CDM na CUF angetamka kuvifuta.
 
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini,John Tendwa amekaririwa akisema kuwa haiwezekani kufuta chama chochote cha siasa nchini hata kama itabainika kuwa chama kinahusika na vurugu za Arusha. Amesema kuwa kufuta chama chochote kuna athari kubwa sana.Tendwa anatafsirika kama kumjibu Mbunge Moses Machali-NCCR Mageuzi aliyetoa pendekezo la kufuta chama kitakachobainika kuhusika na milipuko ya bomu jijini Arusha akivitaja vyama vya CCM na CHADEMA. Mzee Tupatupa (kwasasa Arusha)

Hofu ya mwajiri wake CCM
 
mimi nilishawai kukaa mahali na wa andishi wa habari walikuwa wanakunywa wakawa wanasema kuwa mzee huwa anapigwa na mke wake makofi nikacheka sana
 
Hakuna kiumbe nakichukia kama tendwa, nathubu kusema kama ningekuwa na bastola basi ningempoteza
 
Huu ni ushahidi mwingine wa uhusika wa CCM na vurugu na ukatili dhidi ya raia wa Tanzania. In actual fact, Tendwa amekiri kuwa kuifuta CCM kutakuwa na madhara makubwa (kwa mafisadi)?
 
Back
Top Bottom