Tendwa na pingamizi la chadema dhidi ya kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tendwa na pingamizi la chadema dhidi ya kikwete

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by wishega, Sep 8, 2010.

 1. w

  wishega Member

  #1
  Sep 8, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Awali yote napend kuwaslimia ndugu zangu wa Jamii Forum,Leo napenda kuzungimzia pingamizi la CHADEMA dhidi ya mgombea urais wa CCM kuhusu kukiuka mkataba wa Sheria ya gharama za Uchaguzi ya mwaka 2010.

  Hivi kuna mtu alitegemea kuwa msajili wa vyama vya siasa angefanya maamuzi ambayo yangeonyesha dhahiri kuwa CCM imekiuka mkataba huo? Msajili wa vyama vya siasa ni ametuliwa na rais je inawezekanaje akatoa maamuzi ambayo hayatomtoa kimasomaso rais?

  Rais wa Uganda ndugu Yoweri Kaguta Museveni aliwahi kusema kama rais ikiwa bado upo madarakani huwezi kushindwa uchaguzi wakati mamlaka zenye kutangaza ushindi zimetokana na uteuzi wako,alisema maneno haya alipokuwa akitoa maoni yake juu ya uhindi wa Rais Kibaki ambaye alimlazimisha aliyekuwa mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi wa Kenya wakayi huo Jaji SAmuel Kivuitu amtangaze mshindi. Katika hili nataka kusema kwamba maranyingi wateule wa rais hufanya maamuzi ya kuwafavor waliowateua.
   
Loading...