Tendo la Ngono linabeba bahati, mikosi na hata laana za watu

Tendo la ngono linabeba bahati,mikosi na hata laana za watu unaolala nao usipokuwa makini unaumia.

“Kuna mwanamke/Mwanaume ukilala naye bahati zinakutembelea na Kuna mwingine, utajuta”
“Kuna watu wana laana za ukoo ukilala nae na wewe unazibeba mikosi inaanza”
“Kabla hujalifanya tafakari unafanya na nani, kwa ajili ya nini, matokeo yake ni yepi”

“Tena sana na ndio maana unakuta wale wenye wanawake/wanaume 9 mpaka 11 na kuendelea ukiwachunguza vizuri akili zao hua lesi muda wote.”
Yaani Mkuu umenigusa kunako
 
Wengine humu wanapotezea maksudi tu...lkn ukweli upo ivo!!
Kuna ke/me ni kismat si kawaida
Ukigundua hilo weye unae fanikiwa ..gharamia maisha kwa asilimia80...ukilia lia tu.mwenye kismati atakutoroka.uone hapo utakavo chapika.utakosa hata mlo
Jokate.wema..nk hawa wana vismati sana
...nilikuwa napata madeal tena nje ya nchi si kawaida ila wao hawajui mpaka nikaona heee!!.....anae pinga ajiulize kwa nini C/doa wana kimbizana na wabunge/wafanya biashara??? Tena kwa dau kubwa si kawaida.na wale maisha yao si haba...gheto la CD ni utakaaa chini...
We fikiria tu mtu anamnunulia mwanamke gari zuri....anamjengea jumba hilo. Why?? Acheni bana....zile mashine zina vismati na mikosi...
 
Acha kukurupuka Soma vizuri comment yangu na elewa mstari kwa mstari.

Nimezungumzia Mambo mawili ,Elimu na Biashara sema kwavile kichwa chako kimejaa mafua basi wewe umeelewa hivyo.
Ukweli Ni mchungu Koo nyingi Ni maskin Sana sabab Ni background za mababu zao .
Fuatilia Koo zenye unafuu wa maisha kwasasa Ni either mababu walisomesha watoto wao au hao mababu waliwekeza Sana kwenye ardhi na Mambo ya Biashara plus ufugaji.
Mababu wengi hasa ambao hawakua na maono ya baadae walikua wanauza Sana ardhi pengine kubadirishana hata na vinywaji km pombe au chakula.

Matatizo yote huanzia hapo .

Pengine km hujatembea sehem mbali mbali ,ukisikia ukoo wa fulan Ni maarufu na wanajulikana Sana jua mababu waliwekeza Sana kwenye hayo maeneo so hata kupeana michongo wajukuu inakua rahis Sana na kutoboa pakufikia tu.

Ingawa wapo wanaotoboa from zero to hello yaan Hana connection na mtu lakin anapambana kimungu mungu anatoboa lakin Ni wachache ukilingamishana na wale ambao wanapeana Raman za maisha .
Kama ni wewe ndo unaamini una akili bado hata mimi naamini kichwa chako kimejaa makamasi na nina hakika hata hujajikomboa kiuchumi na mawazo mgando ulinayo, haipo tofauti ya maneno yako niliyo kukosoa maana ni wewe umeyaweka, ninyi ni wale mnao ishi Kwa kudhani mambo ya kiroho hayapo isipokua elimu ndiyo kila kitu, maana ndicho unacho maanisha, ukidhani watu walikosa elimu na mababu walikua wavivu, mi nasema huwezi kuambiwa ukaelewa na wewe ni sehemu ya mpumbavu mwenye hasara hapa nchini

Unaamini wapo wanaotoboa ki MUNGU maana yake unapaswa kuamini mambo ya kiroho yapo,nje na hivyo huna sababu ya kumtaja MUNGU na hujawahi kumuona
 
Hii nu kweli kabisa.Nilikuwa na demu wangu yule neeram siku tu nikilala nae mpaka asubuhi basi ujue kesho yake napata hela au kuna deal la hela ntapewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom